Hii ndo ilikuwa Congo ya Mobutu Sese Seko

Wakati mwenzako ana uhakika wa kupata milo mitatu kwa siku,wewe mramba viatu wa lumumba unaishia kushindia kashata na kikombe cha alkasuusi
Anafikiri tunategemea posho za polepole kama yeye
 
alafu kuna taarifa nliskia mobutu alikua hapendi kuachia uenyekiti wa chama chake pia sjajua kama ni kweli? ni taarifa za chini chini jaman
Yupi huyo?? Chama chake pia kinavaa nguo za kijani?
 
mwaka huu utaandika articles zote mpaka vidole vitoke six packs, nyie eteni majina yote! alafu kama huna taarifa jiandae ujenzi mpya reli kuanzia dar mpaka angola, akitoka magu achukue mwingine tena wa ccm, maisha matam nyie achen tu
Umeangalia documentary lakini??
 
Wanaharakati duniani wameleta mabadiliko makubwa, hivyo unapodhani kuwa siasa za kiharakati hazina mafanikio unakosea sana, ila ni shida ya ubongo wako kwa kutofahamu huu ukweli kuwa hakuna mtawala wa milele walipita na kufa hata CCM watapita na kufa
 
Duuh
 
Watu wa Zaire walilazimika kusifu na kumuabudu Mobutu Sese Seko. Kumkosoa Mobutu Sese Seko ilikuwa ni kujikatia tiketi ya kifo.

Hata Mwanamuziki maarufu Bw. Tabuley alipojaribu kumkosoa Mobutu aliponea chupuchupu kuuawa. Ilikuwa bahati yake kwake kwa kuwahi kutoroka na kuikimbia nchi hiyo ya Zaire na kwenda kuishi nchini Marekani. Angechelewa kutoroka siku hiyo angeweza kuuawa na Mobutu kwani tayari Rais huyo alishaandaa Kikosi kazi chake kwa ajili ya kwenda kumteka Tabuley nyakati za usiku wa Siku hiyo ambayo Tabuley alitoroka nchi. Baadhi ya Majasusi wa Kikosi Maalumu Cha Kumlinda Rais Mobutu Sese Seko siku hiyo walikuwa wazalendo na kuamua kumvujishia taarifa za Siri na kumtaarifu Tabuley kwamba kwa kulinda Usalama wake anapaswa aondoke haraka sana kutoka katika nchi hiyo kabla jua halijazama kwa sababu ikifika usiku kuna Watu wangeweza kuja nyumbani kwake ili kumteka na kumfikisha mbele ya Rais Mobutu. Hii ndio ilikuwa salama yake ya kumnusuru na kifo.
 
Nitaanza kukuombea angalau msongo wa mawazo ulionao kutokana na kipigo cha October 28th ukutoke, usikute tunakuchukulia pouwa kumbe upo katika stage za mwishoni kuchanganyikiwa.
MAOMBI yanaendelea mkuu ?
 
Tunahitaji Tanzania ya watu wenye akili na sio bendela fuata upepo.
Always uwa nasema kama wewe ni mtu mwenye akili timamu uwezi kukubaliana na Chama Cha Majambazi na sera zake all in all akuna kitakachodumu milele walikuwepo wakapita.
Kusifia na kujipendekeza na kufanya kufuru kubwa kwa muumba wetu vitatuangamiza.
Amelaaniwa ametegemeaye mwanadamu mwenzake.

Na ndio kinachoendelea saiv ujinga tu.
Najua kuna watu watatuona wasaliti ila ukweli ndio huo.
 
Kwa sasa tumeweka mtu mbele badala ya kuweka taifa mbele na wanachi wake.
Picha ya mtu fulani hivi sikuizi inaeshimiwa sanaa kuliko ata Fulagi ya nesheni.

Mwisho amelaaniwa meanadamu amtegemeaye mwanadamumwenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…