Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #21
HahahahahaUtakula mutwiishe hadi meno yalegee dadeeeki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaUtakula mutwiishe hadi meno yalegee dadeeeki
Anafikiri tunategemea posho za polepole kama yeyeWakati mwenzako ana uhakika wa kupata milo mitatu kwa siku,wewe mramba viatu wa lumumba unaishia kushindia kashata na kikombe cha alkasuusi
Hakikisha una mbio kuliko Usain Bolt maana ndio silaha itakayo kuokoaUtakula mutwiishe hadi meno yalegee dadeeeki
Yupi huyo?? Chama chake pia kinavaa nguo za kijani?alafu kuna taarifa nliskia mobutu alikua hapendi kuachia uenyekiti wa chama chake pia sjajua kama ni kweli? ni taarifa za chini chini jaman
Umeangalia documentary lakini??mwaka huu utaandika articles zote mpaka vidole vitoke six packs, nyie eteni majina yote! alafu kama huna taarifa jiandae ujenzi mpya reli kuanzia dar mpaka angola, akitoka magu achukue mwingine tena wa ccm, maisha matam nyie achen tu
Hao tayari washapewa kilema cha akiliAnafikiri tunategemea posho za polepole kama yeye
Utakula mutwiishe hadi koo lipate vidondaHakikisha una mbio kuliko Usain Bolt maana ndio silaha itakayo kuokoa
Wanaharakati duniani wameleta mabadiliko makubwa, hivyo unapodhani kuwa siasa za kiharakati hazina mafanikio unakosea sana, ila ni shida ya ubongo wako kwa kutofahamu huu ukweli kuwa hakuna mtawala wa milele walipita na kufa hata CCM watapita na kufaHata mwezi bado sasa mpaka miaka 5 ipite si mtaokota makopo...hebu jifunzeni ku let it go na mjipange kwa 2025.
Muhimu acheni siasa za kiharakati mje kwenye siasa za kimifumo kuanzia shina hadi Taifa, hata mbuyu huanzia mizizi chini ndo unakwenda juu na kuwa mpana.
Umeangalia documentary lakini??
Yupi huyo?? Chama chake pia kinavaa nguo za kijani?
Amani iwe nanyi
Nimeambatanisha na video ya documentary ya Mobutu Sese Seko, aliyekuwa Raisi wa Congo ( Zaire) ili wajumbe mjionee wenyewe
Nilichogundua kutoka kwenye documentary hii ambayo ina sub-title ya kiingereza ni kuwa
1. Mobutu alitengeneza kundi kubwa sana la wanafiki waliokuwa wanajifanya wanamuabudu kama Mungu kumbe ni binadamu tu
2. Wasanii wa Congo walifika hatua ya kutunga nyimbo za kumsifu na kumuabudu Mobutu Sese Seko. Nyimbo hizi ziliimbwa hadi kwenye halfa za kiserikali na shughuli za Chama chake.
3. Mobutu alipaendeleza sana kijijini kwake na kupaweka kifahari
4. Mobutu alipenda sana kusifiwa na kuwatawala watu hadi kwenye mambo yao binafsi. Alihusudu sana kuogopwa na alijiona yeye ndo kila kitu.
5. Chama tawala enzi zake kilimuona kama Mungu na kuwakebehi wapinzani wake na hata kuwaua na kuwapoteza wengine kwa kupitia vikosi vya ulinzi na usalama
6. Majina halisi ya Mobutu yalikuwa Joseph Mobutu
7. Mobutu alitumia uzalendo Kama silaha ya kuangamiza wakosoaji wake.
Na mwisho
Ukweli ulikuja kmuangusha Mobutu Sese Seko kuwa si lolote si chochote!
Baada ya kuangalia documentary hii, nimehitimisha kuwa kumbe hakuna jipya chini ya Jua. Yote ni marudio tu!
Kama una bundle la kutosha angalia mwenyewe👇
cc: Salary Slip Erythrocyte Sky Eclat residentura Mshana Jr Crimea Wakudadavuwa YEHODAYA GENTAMYCINE Victoire
Hahahadadek mpaka tunafika 2035 kuna watu watakua washaandika articles mpaka vidole vina sugu
Hakikisha una mbio kuliko Usain Bolt maana ndio silaha itakayo kuokoa
Amani iwe nanyi
Nimeambatanisha na video ya documentary ya Mobutu Sese Seko, aliyekuwa Raisi wa Congo ( Zaire) ili wajumbe mjionee wenyewe
Nilichogundua kutoka kwenye documentary hii ambayo ina sub-title ya kiingereza ni kuwa
1. Mobutu alitengeneza kundi kubwa sana la wanafiki waliokuwa wanajifanya wanamuabudu kama Mungu kumbe ni binadamu tu
2. Wasanii wa Congo walifika hatua ya kutunga nyimbo za kumsifu na kumuabudu Mobutu Sese Seko. Nyimbo hizi ziliimbwa hadi kwenye halfa za kiserikali na shughuli za Chama chake.
3. Mobutu alipaendeleza sana kijijini kwake na kupaweka kifahari
4. Mobutu alipenda sana kusifiwa na kuwatawala watu hadi kwenye mambo yao binafsi. Alihusudu sana kuogopwa na alijiona yeye ndo kila kitu.
5. Chama tawala enzi zake kilimuona kama Mungu na kuwakebehi wapinzani wake na hata kuwaua na kuwapoteza wengine kwa kupitia vikosi vya ulinzi na usalama
6. Majina halisi ya Mobutu yalikuwa Joseph Mobutu
7. Mobutu alitumia uzalendo Kama silaha ya kuangamiza wakosoaji wake.
Na mwisho
Ukweli ulikuja kmuangusha Mobutu Sese Seko kuwa si lolote si chochote!
Baada ya kuangalia documentary hii, nimehitimisha kuwa kumbe hakuna jipya chini ya Jua. Yote ni marudio tu!
Kama una bundle la kutosha angalia mwenyewe👇
cc: Salary Slip Erythrocyte Sky Eclat residentura Mshana Jr Crimea Wakudadavuwa YEHODAYA GENTAMYCINE Victoire
MAOMBI yanaendelea mkuu ?Nitaanza kukuombea angalau msongo wa mawazo ulionao kutokana na kipigo cha October 28th ukutoke, usikute tunakuchukulia pouwa kumbe upo katika stage za mwishoni kuchanganyikiwa.