Bwana Bongo
Senior Member
- Dec 12, 2021
- 146
- 212
Hii ndo maana halisi ya neno yas sio hiyo mnayo sambaza na kupromo uchoko!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaogopa kulengeshwa Kwa watekaji?Hata hivyo huu mtandao bado una sura ya kihuni. Panapo maajaliwa tar. 30 mwezi huu ndio mwisho, navunja laini.
Hili jina jipya sijalielewa, hasa "mix by yas" limekaa kichokochoko.Mkuu unaogopa kulengeshwa Kwa watekaji?
Mtandao wa tigo sasa uitwe "mtandao wa Yas" au uitwe "mtando wa Mixx". Hiyo ingekaa poa.
Jina limekaa kishangingi😂😂😂Yas" is a slang term that expresses excitement or celebration, similar to the interjection "yes!". It is sometimes spelled "Yass" and has LGBT cultural associations. In 2017, Oxford Dictionaries added "yas" to its definition
Kiswahili kinazidi kupotea. Ndiyo siku hizi watu wameigeuza Ndio.
Dunia inaenda kubaya sana, unakuta hata movie inaanza vizur tu ila ushangingi unakuja kuingilia kati from nowhereJina limekaa kishangingi😂😂😂