HII ndo Mikoa tajiri Tanzania (Kwa mujibu wa BOT), Mbeya yaishinda Arusha...

Serikali yenyewe inasema utalii umeingiza zaidi ya $1B kwa Tanzania je asilimia kubwa ya huu utalii ni wapi kama sio Arusha na Manyara!.
 
Serikali yenyewe inasema utalii umeingiza zaidi ya $1B kwa Tanzania je asilimia kubwa ya huu utalii ni wapi kama sio Arusha na Manyara!.

so what ? Unapingana na mleta uzi ? Ongeza uzito kidogo labda utaeleweka .
 
Serikali yenyewe inasema utalii umeingiza zaidi ya $1B kwa Tanzania je asilimia kubwa ya huu utalii ni wapi kama sio Arusha na Manyara!.

mkuu soma vizuri nchi hii utalii upo karibia mikoa zaidi ya 16 Tanzania arusha ikiwemo ndani yake
 

habari nzuri kwa wana mbeya japo serikali imeusahau sana mkoa huo kama sio jiji bana
 

Why not Mbeya? Tourism sector is not only cotrolled by the arusha region alone but all the northern regions such as Mara, Manyara and Kilimanjaro too so its obvious the sector could not contribute much to arusha alone. On the other hand the mining sector which you are talking about we all know how Tanzanite is smuggled out of the country. On the other hand Mbeya is the largest producer of food crops in the country as well as various cash crops. And trust me if the agricultural sector alone in Mbeya could well be taken care of Arusha with all its resources you are talking about could not touch Mbeya. By the way food crops are also smuggled out of Mbeya to neighboring countries such as DR Congo, Malawi. Thats the power of agriculture.
 
Kwa nini Mbeya? Mbona Shinyanga, Iringa na Morogoro zimeipita Arusha na Hamshangai? Mbeya ndiyo mzaishaji mkubwa wa mazao ya chakula na baadhi ya mazao ya biashara, kilimo pekee kinachofanyika Mbeya ni kigezo tosha cha kifanya iipite Arusha. Hata Mbeya chakula kinatoroshwa pia kwenda nchi mbali mbali za jirani (mfano Congo DR wao kulima ni tatizo kwa sababu ya vita mashariki) kwa iyo kama kilimo kingesimamiwa vizuri na uuzwaji wa mazao pia pia basi Arusha na sekta zake mnazotaja isingegusa kabisa hata robo ya Mbeya. Shinyanga ipo juu kwa sababu sekta ya madini ipo juu na kilimo pia, haingii akilini ukisema sekta ya madini arusha ipo juu kuliko Shinyanga ( yaani useme almasi inayozalishwa shinyanga imezidiwa na Tanzanite ya Arusha). kwa hiyo ukijumlisha hivyo utaona matokeoa yake tofauti na arusha ambayo uchumi inaotegemea wa utalii inabidi kugawana na mikoa mingine yenye vivutio hivyo vya kitalii. Nguvu ya kilimo inaonekana kwa Iringa na Morogoro. Arusha hamna kitu wala msitudanganye kwa maneno.
 
Kwa nini .nabishania kuhusu mbeya?, kwahiyo kwa iringa na morogoro ni sawa tu ila kwA mbeya hapana, kuna kitu hapa....
 
Huwa tunawaambia Mabilionea wa Arusha ni wajanja wajanja tu mtu akiwa na gorofa 2 basi anatukuuuzwa bilionea ukienda Kariakoo hapo unakuta mkinga ana gorofa 4 na hajulikani kama Bilionea na wala watu hawamtukuzi kila mtu na 50 zake.

So what else?
 
hata kwa vigezo vya kiwilaya bado wananchi katika wilaya za mbeya wana vipato vikubwa ukilinganisha na arusha ambayo ni mjini tu. mfano wilaya ya kyela mbali na kuzalisha mchele super east africa pia wanazalisha kakao, michikichi( mawese) ambayo wafanyabiashara wa congo hujazana kuyafuata, ndizi, matunda kama maembe, machungwa na matikiti huzalishwa kwa wingi. pia kuna beach na hoteli nzuri za kitali mwambao wa ziwa nyasa(matema beach)
 
habari nzuri kwa wana mbeya japo serikali imeusahau sana mkoa huo kama sio jiji bana

Mzazi mbeya ipi iliyosahauliwa na serikali hii yenye lami hadi vichochoroni au?
 
We huo ni uchizi we nani kwakwambia tanzanite ipo arusha hata hujui nini unachokiongea na tourism inamilikiwa na wageni wazungu wanalipia huko kwao ndio wanakuja bila hela thats why arusha haina hela apart from few people wanaocjihusisha na uchimbaji wa madini directly. and that makes this report a very true report
 

Hapana, hii umeambiwa pato la Taifa, sasa kama hawajajengewa barabara, haifuti ule mchango kwa pato la Taifa. Yawezekana serikali haikujenga hizo barabara kama zilivyojengwa huko Arusha, ambapo siyo wao wananchi wamejenga hizo tarmaced roads.
 

Ingewekwa na ile TRA Annual Domestic Revenue Collection Regional wise. Hii iliyowekwa ni kama pato la mwananchi kwa mkoa, ambapo haishangazi kuona Mbeya wako vizuri, kwa kuwa licha ya rutuba na hali ya hewa ambayo ni rafiki kwa kilimo, watu wake wanajituma, siyo wavivu.
 
Kwa nini .nabishania kuhusu mbeya?, kwahiyo kwa iringa na morogoro ni sawa tu ila kwA mbeya hapana, kuna kitu hapa....

Tena kitu kikubwa, haiwezekani waishupalie Mbeya wakati kuna Shinyanga, Iringa na Moro zipo juu. Kama kuna agenda nyingine bora isemwe tuelewe, maana huhitaji hata kujua kusoma na kuandika ili kuelewa kama Mby ni zaidi ya Arusha
 
ukitembelea vwawa, tukuyu, kyela au tunduma unaweza sema hujatoka nje ya mkoa. tofauti na mikoa mingine ambayo mawilayani kunakuwa kumechoka sana. kilimo kina pesa kuliko watu wanavyofikiri. kuna kipindi mufindi na mbozi zilikuwa ndo wilaya zina changia sana pato la taifa. lakini msihofu nayo ikigawanywa itashuka tu.
 

Hizo ndo ripoti zinazoandaliwa na Wataalam wa serikali ya CCM ili kuonesha kuwa nchi inapiga hatua katika nyanja za Uchumi waweze kupata kura za wananchi wasiojua chochote kuhusu uongo huu. Afadhali leo umetambua kuwa kwa kifupi tunaibiwa na wezi wenyewe wanajulikana.
 
Hapana, hii umeambiwa pato la Taifa, sasa kama hawajajengewa barabara, haifuti ule mchango kwa pato la Taifa. Yawezekana serikali haikujenga hizo barabara kama zilivyojengwa huko Arusha, ambapo siyo wao wananchi wamejenga hizo tarmaced roads.
Sasa wewe mkuu unabishana kama wale Nyerere aliwaita zuzu!
Unarudisha almasi yako kwa tapeli halafu unauziwa feki na unachekelea!
Kama unachangia wewe(Mbeya pato la Taifa, una nini cha kuonyesha mchango huo na umasikini umezagaa.
Wewe unazalisha pato la Taifa,barabara zikajengwe kwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…