Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
Aamke akamwage mkojo aliokojoa kwenye kopo kwanza kabla ya kwenda kukinga maji 😃😃Ukimaliza kuota hiyo ndoto amka na ndoo ujaze maji yameanza kutoka hapa uwani jirani yangu 😜
maisha ya kukinga maji uwani sijui wapi nimeshayavuka now naoga bafuni nawasha tu heater ya maji nafungulia shower au naoga kwenye sinkUkimaliza kuota hiyo ndoto amka na ndoo ujaze maji yameanza kutoka hapa uwani jirani yangu [emoji12]
si kila mtu ana akili za kimasikini kama mzee tunatofautianaAamke akamwage mkojo aliokojoa kwenye kopo kwanza kabla ya kwenda kukinga maji [emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukimaliza kuota hiyo ndoto amka na ndoo ujaze maji yameanza kutoka hapa uwani jirani yangu [emoji12]
Mzee umemuelewaa huyo jamaa ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii comment yako tu inaonesha wewe ni choka mbaya mwenzetusi kila mtu ana akili za kimasikini kama mzee tunatofautiana
Ohhhhh!!Hii ndiyo ilileta kile kilio mkuu?Mzee umemuelewaa huyo jamaa ?
Taratibuuuuu mzee wa churaOhhhhh!!Hii ndiyo ilileta kile kilio mkuu?
mzee mimi hata nikilala mwezi mzima hela inaingia tu kwenye akaunti yangu mimi kazi yangu ni kupiga simu tuHii comment yako tu inaonesha wewe ni choka mbaya mwenzetu
Tajiri hana muda wa kujibizana na masikini hata siku moja [emoji1787]
Hivi mkuu mtu mwenye hela zake za maana anaweza kupata muda wa kuja kuanzisha mada kama hii yakwako?
size ya kati au extra large?Na awe na chura
mimi sio choka mbaya aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii comment yako tu inaonesha wewe ni choka mbaya mwenzetu
Tajiri hana muda wa kujibizana na masikini hata siku moja [emoji1787]
Hivi mkuu mtu mwenye hela zake za maana anaweza kupata muda wa kuja kuanzisha mada kama hii yakwako?
Sawa tajirimimi sio choka mbaya aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Usihofu tajirimzee mimi hata nikilala mwezi mzima hela inaingia tu kwenye akaunti yangu mimi kazi yangu ni kupiga simu tu