Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
Unakuta wewe una pesa nyingi...mke wako naye ana pesa nyingi unamnunulia zawadi ya million nne naye week ijayo anakusurprise na zawadi ya million tatu.It feels so good kwa upande wangu.
Kuwa na hela Raha Sana.Life without money is life that hasn't lived.Uzi tayari
Kuwa na hela Raha Sana.Life without money is life that hasn't lived.Uzi tayari