Life without money is life that hasn't lived.Unakuta wewe una pesa nyingi...mke wako naye ana pesa nyingi unamnunulia zawadi ya million nne naye week ijayo anakusurprise na zawadi ya million tatu.It feels so good kwa upande wangu.
Kuwa na hela Raha Sana.Life without money is life that hasn't lived.Uzi tayari
Fanya kucorrect tuone mzee wa ArsenaneLife without money is life that hasn't lived.
Watu ambao hawaoni tatizo kuandika kwa kukosea hufanikiwa kimaisha haraka sana. Hongera bro
Kucorrect nini ndugu yangu wa sita sita kila OctoberFanya kucorrect tuone mzee wa Arsenane
comment yako si inasema "watu ambao hawajali kuandika kwa kukosea"Kucorrect nini ndugu yangu wa sita sita kila October
Kuna siku nilikutana na mfilisi wa serekali nikakimbia hadi miguu ikauma!Taratibuuuuu mzee wa chura
Upo sahihi. Ndiyo inavyosema.comment yako si inasema "watu ambao hawajali kuandika kwa kukosea"
Mfilisi wa serekali mambo?[emoji1782]Kwahiyo unatuambiaje eti
Dah!sijaelewa hebu andika tenaLife without money is life that hasn't lived.
Watu ambao hawaoni tatizo kuandika kwa kukosea hufanikiwa kimaisha haraka sana. Hongera bro
kivipi?Kuna komba mboga anatafutwa hapa..
πππππππKuna siku nilikutana na mfilisi wa serekali nikakimbia hadi miguu ikauma!
Hii vita simooMfilisi wa serekali mambo?[emoji1782]
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii vita simoo
Nakufataaa hukoo hukoo[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Unanifuata mimi au mfilisi wa serekali?Nakufataaa hukoo hukoo
Ukiwa magomeni mapipamaisha ya kukinga maji uwani sijui wapi nimeshayavuka now naoga bafuni nawasha tu heater ya maji nafungulia shower au naoga kwenye sink
MfyuuuuuMfilisi wa serekali mambo?[emoji1782]