Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Life without money is life that hasn't lived.Unakuta wewe una pesa nyingi...mke wako naye ana pesa nyingi unamnunulia zawadi ya million nne naye week ijayo anakusurprise na zawadi ya million tatu.It feels so good kwa upande wangu.
Kuwa na hela Raha Sana.Life without money is life that hasn't lived.Uzi tayari
Watu ambao hawaoni tatizo kuandika kwa kukosea hufanikiwa kimaisha haraka sana. Hongera bro