Uchaguzi 2020 Hii ndo sababu CCM wanakwepa kuzungumzia Dhahabu kwenye kampeni zao

Dawa yenu ni tarehe 28/10/2020 watz wanawachinjia baharini na msaliti wenu. Ulipashwa pia kujiuliza kuwa Msaliti Lissu alisema tutashitakiwa Miga. Sasa tumeshitakiwa??!!
 
Katika vitu ambavyo kila nikiviwaza ninakuwa nina huzuni sana kimoja wapo ni hofu ya jiwe kurudi kututawala kwa miaka mingine 5.Malaika kama wanapitiaga comment JF,waingilie kati jiwe asirudi msimu ujao.
 
Gharama kubwa kwa Magufuli ni kuukosa Urais unaompa madaraka na kiburi.
 
CCM ni genge la wanyonyaji wa kisiasa
January makamba mtoto wa mzee Yusuph makamba, Nape mnauye mtoto wa Moses mnauye, Lusinde mtoto wa Job Lusinde, Karume mtoto wa mzee Karume,makongoro mtoto wa baba wa Taifa, John mongela mkuu wa mkoa wa mwanza,mtoto wa mama Getrude mongela, kipi warioba mtoto wa mzee Joseph warioba waziri mkuu Mstaafu.Na wengine wengi,watanzania bila kujali itikafi yako unajifunza nini? Tumia busara kupiga kura Oct 28.
 
Kwani kuna tatizo gani watoto wao kugombea nafasi za kisiasa? Wangeteuliwa bila kugombea hapo kweli ungekuwa na hoja lakini kwa sasa hoja yako ni mfu! Pia elewa mzazi mara nyingi anamfundisha mtoto wake kurithi kazi aliyokuwa anafanya ndiyo maana wafanyabiashara wanawafundisha watoto wao kuwa wafanyqbiashara mifano ni kama MO pia watoto wa Bakresha/Azam. Mfugaji ana mfundisha mtoto wake awe mfugaji bora!
 
Ccm ni wale wale walio kunywa uji wa mgonjwa.
 
Uongo hawezi kukimbia mbali kwa una miguu mifupi. Wakati umefika wa JIWE , Propesa Kabundi na mi CCM wanatakiwa kuacha ulaghai na kuwaeleza waTz ukweli hadharani.

The Multilateral Investment Guarantee Agency (MIGA)
[1] International financial institution which offers political risk insurance and credit enhancement guarantees. These guarantees help investors protect foreign direct investments against political and non-commercial risks in developing countries.
[2] Established in 1988 as an investment insurance facility to encourage confident investment in developing countries.
[3] Insures long-term debt and equity investments as well as other assets and contracts with long-term periods.
 
Pamaoja na yote hayo dhahabu ki takwimu imeoneza pato la taifa au pato limeshuka
 
Ccm ni wale wale walio kunywa uji wa mgonjwa.
Afadhali CCM wanauzoefu kuliko Saccos tumewapa ruzuku kwa miaka mitano kila mwezi million 300+ zote wamekula hata kujenga ofisi wameshindwa pia michango ya wabunge nayo wamekula. Tukiwakabidhi Hazina ya Taifa si watahamisha pesa zote kwenda kwa mabeberu ya Ubelgiji???!! HATUWEZI FANYA UJINGA HUO.
 
Maswala ya MIGA muulize Msaliti Lissu si uko naye hapo kwenye mitaa ya Ufipa?!!
 
Ni kutokana na demand ya dhahabu duniani kuongezeka. Siyo Jiwe aliyepandisha bei ya dhahabu kwenye soko la dunia.
Huelewi kitu! Tumethibiti utoroshaji wa madini yetu pia uwekaji wa masoko ya madini nchini ndiyo iliyochochea ongezeko la mapato yatokanayo na madini. Be informed you ass!!
 
Tangu Uhuru ,tunatambaa hatusimami. Vinavyofanyika leo vilitakiwa vifanyike mwaka 1995. Ccm imetufikisha pabaya Sana. Hadi leo mji wa katoro uliopo jimbo la CHATO mkoa geita hauna maji Safi na salama. Miaka yote Jimbo hilo limekuwa ccm na mbunge wake miaka yote ni JPM. Huku Kamwanga,lwenge Nyamikoma kms 5 kutoka mji wa Geita hakuna umeme,hakuna maji,hakuna hata barabara ya vumbi,hakuna shule. Kutoka mji wa Geita kwenda mji wa kahama hakuna barabara ni zaidi ya kms 110. Chato wananchi wanachota maji ziwa Victoria. Wilaya ya bukombe,mbongwe, nyawhale,geita vijijini mkoa wa Geita hazina maji,hakuna km moja ya lami. Sasa ni miaka 50 tangu tupate uhuru. Ndipo CCM ilikotufikisha.
 
Unazungumzia miaka 50 wakati wewe umezaliwa miaka ya 90!! Utawezaje kujua kama kuna maendeleo au la? Waulize wazazi wako wakati tunapata uhuru Tanganyika ilikuwaje na sasa Tanzania iko je? Kuna tofauti kubwa sana kati ya 1961 na 2020 katika maendeleo ya nchi hii. Ni mjinga tu ambaye anaweza kusema kuwa hakuna kilichofanyika pamoja na changamoto kibao tulizopitia ikiwemo vita ya Idd Amin pamoja na kuwasaidia ndugu zetu wa SADC kujikomboa toka kwa wazungu.
 
Halafu anajidai mchamungu.....Shenzi kabisa bonge la mnafiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…