Hii ndo sababu inayomfanya Diamond asishiriki Fiesta 2016

Hii ndo sababu inayomfanya Diamond asishiriki Fiesta 2016

rugberna97

Senior Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
147
Reaction score
126
Hatimaye Diamond ametoa sababu ya kutopanda jukwaa la fiesta 2016,Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm Diamond amesema kuwa ndoa(mkataba) yake na vodacom ndio sababu inayomfanya asishiriki fiesta.

Wadhamini wakuu wa fiesta ni Tigo.
 
Anaitwa Dai au Chibu au Baba Tiffah au SIMBA

au Mwite tu Diamond Platnumz mtoto wa Tandale aishiye South Africa kwenye nyumba yake.

Nilifikiri atasema hashiriki kwakuwa analea mimba ya mkewe

Vodacom inamlipaje huyu jamaa?
Mh
 
Voda wanashindwa kuwasaidia wasio jiweza wanaenda kutupa hella aisee
 
Anaitwa Dai au Chibu au Baba Tiffah au SIMBA

au Mwite tu Diamond Platnumz mtoto wa Tandale aishiye South Africa kwenye nyumba yake.

Nilifikiri atasema hashiriki kwakuwa analea mimba ya mkewe

Vodacom inamlipaje huyu jamaa?

Usikute unaishi nyumba ya makuti na ya kupanga, baada ya kujishighulisha na maisha yako unakuja kumpa ujiko mtu asiyekuhusu, pole sana.
 
Hatimaye Diamond ametoa sababu ya kutopanda jukwaa la fiesta 2016,Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm Diamond amesema kuwa ndoa(mkataba) yake na vodacom ndio sababu inayomfanya asishiriki fiesta.
Wadhamini wakuu wa fiesta ni Tigo
Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo
 
Back
Top Bottom