FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Voda wanampa Mvuvi nyavu akavue....sasa weye kwa nini unataka waanze kugawia watu Samaki.Voda wanashindwa kuwasaidia wasio jiweza wanaenda kutupa hella aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Voda wanampa Mvuvi nyavu akavue....sasa weye kwa nini unataka waanze kugawia watu Samaki.Voda wanashindwa kuwasaidia wasio jiweza wanaenda kutupa hella aisee
Anafanya na kampuni zote ila kwenye mitandao ni voda tu na kwenye vinywaji ni coca cola tu, tena nje ndowana hizi tabia za kampuni moja tu na sio kuhama hama. Mf Ronaldo nike, Messi addidas ushawai kuona wamehama? Au kanye na addidasAtakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo
Yaani mtu aingie mkataba na NIKE halafu aruhusiwe kuingia mkataba mwingine na ADIDAS..!!!! Au awe na mkataba na Coca-Cola halafu aingie tena mkataba na PEPSI!!!??Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo
Casper Vyovest Ana mkataba na MTN south Africa na juzi alifanya show iliyoandaliwa na Telcom South Africa.Mfano?
Asante mama.Usikute unaishi nyumba ya makuti na ya kupanga, baada ya kujishighulisha na maisha yako unakuja kumpa ujiko mtu asiyekuhusu, pole sana.
Dhaaaaa!! Ama kweli Pumba n pumba tu haiwez kuwa mcheleSio kazi yao.
Hakuna atakayekupa mkataba halafu akakuacha uwe free kufanya kazi na competitors wake... hakuna kitu kama hicho!!Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo
Sasa na wewe kilichokufanya uje kwenye thread ya mtu asiyekuhusu ni nini?!Usikute unaishi nyumba ya makuti na ya kupanga, baada ya kujishighulisha na maisha yako unakuja kumpa ujiko mtu asiyekuhusu, pole sana.
Nenda kidogo kwenye mifano mkuu!Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo
Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo