rugberna97
Senior Member
- Sep 22, 2016
- 147
- 126
Ha ha ha haAnaitwa Dai au Chibu au Baba Tiffah au SIMBA
au Mwite tu Diamond Platnumz mtoto wa Tandale aishiye South Africa kwenye nyumba yake.
Nilifikiri atasema hashiriki kwakuwa analea mimba ya mkewe
Vodacom inamlipaje huyu jamaa?
MhAnaitwa Dai au Chibu au Baba Tiffah au SIMBA
au Mwite tu Diamond Platnumz mtoto wa Tandale aishiye South Africa kwenye nyumba yake.
Nilifikiri atasema hashiriki kwakuwa analea mimba ya mkewe
Vodacom inamlipaje huyu jamaa?
Diamond alisign na Vodacom dili la shilingi Bilioni Moja,Anaitwa Dai au Chibu au Baba Tiffah au SIMBA
au Mwite tu Diamond Platnumz mtoto wa Tandale aishiye South Africa kwenye nyumba yake.
Nilifikiri atasema hashiriki kwakuwa analea mimba ya mkewe
Vodacom inamlipaje huyu jamaa?
Diamond alisign na Vodacom dili la shilingi Bilioni Moja,
Anaitwa Dai au Chibu au Baba Tiffah au SIMBA
au Mwite tu Diamond Platnumz mtoto wa Tandale aishiye South Africa kwenye nyumba yake.
Nilifikiri atasema hashiriki kwakuwa analea mimba ya mkewe
Vodacom inamlipaje huyu jamaa?
Sio kazi yao.Voda wanashindwa kuwasaidia wasio jiweza wanaenda kutupa hella aisee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sio kazi yao.
Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyoHatimaye Diamond ametoa sababu ya kutopanda jukwaa la fiesta 2016,Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm Diamond amesema kuwa ndoa(mkataba) yake na vodacom ndio sababu inayomfanya asishiriki fiesta.
Wadhamini wakuu wa fiesta ni Tigo
Mfano?Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo
Jamaa ana uwezo mkubwa....zaidi ya wengi tu wanaofikiri degree zao ndio kila kitu.Huenda akawa si miongoni mwa wasanii wachache walio kwenda shule haswa...ila ana akili sana huyu jamaa...