Hii ndo sababu inayomfanya Diamond asishiriki Fiesta 2016

Voda wanashindwa kuwasaidia wasio jiweza wanaenda kutupa hella aisee
Voda wanampa Mvuvi nyavu akavue....sasa weye kwa nini unataka waanze kugawia watu Samaki.
 
Zingatia mikataba ya kubiashara
 
Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo
Anafanya na kampuni zote ila kwenye mitandao ni voda tu na kwenye vinywaji ni coca cola tu, tena nje ndowana hizi tabia za kampuni moja tu na sio kuhama hama. Mf Ronaldo nike, Messi addidas ushawai kuona wamehama? Au kanye na addidas
 
Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo
Yaani mtu aingie mkataba na NIKE halafu aruhusiwe kuingia mkataba mwingine na ADIDAS..!!!! Au awe na mkataba na Coca-Cola halafu aingie tena mkataba na PEPSI!!!??

Katika ulimwengu wa biashara za kiushindani hiyo kitu unayofikiria wewe haipo... Huwezi kuwa na mikataba miwili ya kampuni mbili tofauti zilizopo katika aina moja biashara ya kiushindani...
 
Chonde chonde vodacom mkubalieni afanye moja tu ya Dar... Iwe kama 2014 ...mimawe
 
Kama akina Ruge wana hela wapande dau hapo
 
Bora ajashiriki kwa pesa gani ya fiesta?chibu Jilie pesa yako.na voda com banaa mkataba mnonoooo huo
 
Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo
Hakuna atakayekupa mkataba halafu akakuacha uwe free kufanya kazi na competitors wake... hakuna kitu kama hicho!!
 
Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo
Nenda kidogo kwenye mifano mkuu!
 
Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo

wa nje wa wapi??? celebrity wa nje hawez kusign Nike na adidas kwa wakati mmoja. hio ndo rule of the business. fiesta ingekuwa inadhaminiwa na kampun ambayo cyo mshindan wa VODA, angekuwa free kushiriki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…