Daaah nimesikitika sana baada kuziona hizi taarifa. Hivi madaktari wa Tanzania wanatumia aina gani ya vipimo vipimo vyao ni vya kubahatisha sana. Nakumbuka hata kwa ommidimpozi walituambia matatizo mengine kumbe mtu aliwekewa sumu sasa imejirudia tena kwa Hawa baada ya kutuambia anatatizo za INI kumbe mtu anatatizo la moyo ningekuwa waziri wa hii wizara ningemtumbua mapema
Diamond platinumz ubarikiwe sana kwa msaada wako kwahuyu binti
[emoji120][emoji120][emoji120]
Mambo ya kupima yanahitaji moyo.Huwa wanasisitiza kupima mara kwa mara ila mimi huwa naogopa sana kupima maana inaweza ikawa ndio mwanzo wa matatizo kwangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hiyo ni kweli kiainaMadaktari wanapiga ramli, wanakutizama usoni wanakuuliza unakunywa gongo unawaambia ndio, wanakuuliza unasikia maumivu wapi unawaambia hapa, wanatizama miguu na tumbo imevimba aaah... wanakonkuludi! INI limeunguzwa na pombe.
Comment yako inafurahisha.Madaktari wanapiga ramli, wanakutizama usoni wanakuuliza unakunywa gongo unawaambia ndio, wanakuuliza unasikia maumivu wapi unawaambia hapa, wanatizama miguu na tumbo imevimba aaah... wanakonkuludi! INI limeunguzwa na pombe.
Yani hapa bongo unapimwa na kuambiwa unaumwa hiki na unaenda hospital nyingine hapa hapa bongo unaonekana hauna shida hiyo.Yaan tz ukiumwa unaambiwa hiki ukienda kwa wenzetu wanagundua tatizo tofauti na hii si mara ya kwanza tatizo nini madaktari wetu
Acha tu wengi wanakufa kwa kutibiwa kitu ambacho hawaumwiiYani hapa bongo unapimwa na kuambiwa unaumwa hiki na unaenda hospital nyingine hapa hapa bongo unaonekana hauna shida hiyo.
Udaktari kazi ngumu sana hasa nchi zetu maskini zisizokuwa na vifaa vya kupimia vya teknolojia ya kisasa.
Pia watanzania wengi wanafia mochwari...Tanzania watu wengi wanauliwa na Madaktari..na hapo uhakiki ushapita.
Hawa wahakikiwe upya. Shame.