Ze observer
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 232
- 492
Nafiataka machuchu
Sasa hosp unafuataga nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hosp unafuataga nn
Kwahiyo reference yako ni huyo babu Tale sio? Je kabla ya kwenda alikuwa anaudhuria matibabu hospitali gani? Weka report ya Dr[emoji112][emoji112]View attachment 907311
Madaktari wanapiga ramli, wanakutizama usoni wanakuuliza unakunywa gongo unawaambia ndio, wanakuuliza unasikia maumivu wapi unawaambia hapa, wanatizama miguu na tumbo imevimba aaah... wanakonkuludi! INI limeunguzwa na pombe.
mifugo unawaonea mkuu, wako makini sana.Hili nalijua siku nyingi tu,bora hata hao wa binadamu
Kuna wale wa wanyama ndio wanauwa mifugo kila siku
Kwa hiyo wewe hutumia nini mkubwa..Mimi mara nyingi hua nikiumwa nikienda hospital hua wakinipa medicine, situmii kwasababa hua nawaona madaktari na manesi ni vilaza sana kwahiyo hua naona ni waongo...
Wengi wanapelekwa mochwari wakiwa bado hawajafa vizuri..watu wanatega sikio tu wakisikia moyo haudundi tayari unapelekwa mochwari,kumbe kiuhalisia bado unadunda kwa mbaliiMochwari kivip??
Nimekaa nikajiuliza hivi ndo ikatokea bahati mbaya huko India huyo dada akazima(God forbid) wabongo walivyo wanafiki watageuza kibao na kusema katolewa kafara tena itashupaliwa hiyo balaa ila akirudi salama huwezi kuona hata pongezi zikitolewa....#WatanzaniaROHOmbayaDaaah nimesikitika sana baada kuziona hizi taarifa. Hivi madaktari wa Tanzania wanatumia aina gani ya vipimo vipimo vyao ni vya kubahatisha sana. Nakumbuka hata kwa ommidimpozi walituambia matatizo mengine kumbe mtu aliwekewa sumu sasa imejirudia tena kwa Hawa baada ya kutuambia anatatizo za INI kumbe mtu anatatizo la moyo ningekuwa waziri wa hii wizara ningemtumbua mapema
Diamond platinumz ubarikiwe sana kwa msaada wako kwahuyu binti
[emoji120][emoji120][emoji120]
Akiwahi ina tiba mkuu,ila akianza kuonesha dalili ndo ashakwenda hivyo ,haicheleweshi kuuaKama wewe ni mtu wa imani ktk Mungu kuna mambo mengine ni ya kupuuzia, utaamini ya kuwa ni mpango wa jamii flani kupunguza waafrika.
Homa ya ini haina tiba Mkuu kwa mujibu wa madaktari.
unajua mnaumwa mpaka kansa ya matiti?NGIRI...
baass.
Mtu anayeandika namna hii alisoma shule kweli? Du.. Kweli duaniani kuna mambo.[emoji112][emoji112]View attachment 907311
Nimependa zaidi hapo mwishoKatika art ya history taking kwa mgonjwa, ambayo inahusisha mazungumzo, vipimo vya mkono(physical examination ) pamoja na vipimo vya maabara (lab.investigation) baada Daktari unakuja na majibu ya mwisho kutokana na vipimo vyako, sasa kwenye kuutambua ugonjwa yaani Diagnosis kuna approach 3.. ya kwanza ni Provision diagnosis hii ni ile unayodhan wewe kabla ya vipimo, ya 2 ni differential diagnosis hii ni zile zingine unazozidhan na ya 3 ni diagnosis hii ni ile ambayo vipimo vimethibitisha, na kwenye kutibu pia unaweza ukatibu symptoms yaani dalili ili kumpa relief mgonjwa mfano pain etc endapo hujapata hasa nini anachoumwa mgonjwa wako, sasa ukimwambia relative kwamba mimi nadhani huyu mgonjwa wako ana shida ya spleen ila nenda mbele kwa vipimo zaidi yeye anatoka pale moja kwa moja akijua mgonjwa wake ana shida ya spleen, sio hivyo jaman, na naamin hapakuwa na vipimo vya kutosha vyenye uwezo kugundua hasa kwa 100% ni ugonjwa gan anaosumbuliwa nao, na haya yapo tu. Mwili wa mtu ni zaidi ya msitu wa Congo sio rahis kuuelewa wote bila msaada wa vipimo. Mtuamini tupo vizuri. Mungu amponye huyo binti. "WE TREAT AND GOD HEALS"
Kama ndivyo, huwa unaenda hospitali kufanya nini?Mimi mara nyingi hua nikiumwa nikienda hospital hua wakinipa medicine, situmii kwasababa hua nawaona madaktari na manesi ni vilaza sana kwahiyo hua naona ni waongo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifurahisha sana.Madaktari wanapiga ramli, wanakutizama usoni wanakuuliza unakunywa gongo unawaambia ndio, wanakuuliza unasikia maumivu wapi unawaambia hapa, wanatizama miguu na tumbo imevimba aaah... wanakonkuludi! INI limeunguzwa na pombe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Madaktari wanapiga ramli, wanakutizama usoni wanakuuliza unakunywa gongo unawaambia ndio, wanakuuliza unasikia maumivu wapi unawaambia hapa, wanatizama miguu na tumbo imevimba aaah... wanakonkuludi! INI limeunguzwa na pombe.