Hii ndo Tanzania: Kumbe Hawa wa nitarejea anaumwa moyo sio INI kama madaktari wa Tanzania walivyosema

Madaktari wanapiga ramli, wanakutizama usoni wanakuuliza unakunywa gongo unawaambia ndio, wanakuuliza unasikia maumivu wapi unawaambia hapa, wanatizama miguu na tumbo imevimba aaah... wanakonkuludi! INI limeunguzwa na pombe.

😂😂aisee hii kweli lamli
 
Mimi mara nyingi hua nikiumwa nikienda hospital hua wakinipa medicine, situmii kwasababa hua nawaona madaktari na manesi ni vilaza sana kwahiyo hua naona ni waongo...
Kwa hiyo wewe hutumia nini mkubwa..
Hiki kirungu sasa
 
Daaah nimesikitika sana baada kuziona hizi taarifa. Hivi madaktari wa Tanzania wanatumia aina gani ya vipimo vipimo vyao ni vya kubahatisha sana. Nakumbuka hata kwa ommidimpozi walituambia matatizo mengine kumbe mtu aliwekewa sumu sasa imejirudia tena kwa Hawa baada ya kutuambia anatatizo za INI kumbe mtu anatatizo la moyo ningekuwa waziri wa hii wizara ningemtumbua mapema

Diamond platinumz ubarikiwe sana kwa msaada wako kwahuyu binti
[emoji120][emoji120][emoji120]
Nimekaa nikajiuliza hivi ndo ikatokea bahati mbaya huko India huyo dada akazima(God forbid) wabongo walivyo wanafiki watageuza kibao na kusema katolewa kafara tena itashupaliwa hiyo balaa ila akirudi salama huwezi kuona hata pongezi zikitolewa....#WatanzaniaROHOmbaya
 
Kama wewe ni mtu wa imani ktk Mungu kuna mambo mengine ni ya kupuuzia, utaamini ya kuwa ni mpango wa jamii flani kupunguza waafrika.

Homa ya ini haina tiba Mkuu kwa mujibu wa madaktari.
Akiwahi ina tiba mkuu,ila akianza kuonesha dalili ndo ashakwenda hivyo ,haicheleweshi kuua
 
Kuna mtoto wa ndugu yangu ana miaka miwili alikuwa anaishi Mbeya,akawa anasumbuliwa sana na kifua wakampeleka Hospital ya Rufaa Mbeya kufika pale akachukuliwa vipimo majibu yakatoka kuwa eti anatatizo la Moyo akaanzishiwa dawa na clinic ya kila Mwezi. Ukapita muda mrefu tatizo haliishi na mtoto hapati nafuu. Nikawashauri wamlete Dar ili tumpeleke Muhimbili Kitengo cha Moyo kufika pale amechukuliwa vipimo vyote,majibu kutoka tatizo si Moyo bali ni baridi na mbavu zilikuwa na ukungu wa baridi,akaanza tiba,sasa hivi kapona kabisa na jamaa kwa hasira akahamisha familia Kabisa ipo Dar.
 
Katika art ya history taking kwa mgonjwa, ambayo inahusisha mazungumzo, vipimo vya mkono(physical examination ) pamoja na vipimo vya maabara (lab.investigation) baada Daktari unakuja na majibu ya mwisho kutokana na vipimo vyako, sasa kwenye kuutambua ugonjwa yaani Diagnosis kuna approach 3.. ya kwanza ni Provision diagnosis hii ni ile unayodhan wewe kabla ya vipimo, ya 2 ni differential diagnosis hii ni zile zingine unazozidhan na ya 3 ni diagnosis hii ni ile ambayo vipimo vimethibitisha, na kwenye kutibu pia unaweza ukatibu symptoms yaani dalili ili kumpa relief mgonjwa mfano pain etc endapo hujapata hasa nini anachoumwa mgonjwa wako, sasa ukimwambia relative kwamba mimi nadhani huyu mgonjwa wako ana shida ya spleen ila nenda mbele kwa vipimo zaidi yeye anatoka pale moja kwa moja akijua mgonjwa wake ana shida ya spleen, sio hivyo jaman, na naamin hapakuwa na vipimo vya kutosha vyenye uwezo kugundua hasa kwa 100% ni ugonjwa gan anaosumbuliwa nao, na haya yapo tu. Mwili wa mtu ni zaidi ya msitu wa Congo sio rahis kuuelewa wote bila msaada wa vipimo. Mtuamini tupo vizuri. Mungu amponye huyo binti. "WE TREAT AND GOD HEALS"
 
Nimependa zaidi hapo mwisho
 
Mimi mara nyingi hua nikiumwa nikienda hospital hua wakinipa medicine, situmii kwasababa hua nawaona madaktari na manesi ni vilaza sana kwahiyo hua naona ni waongo...
Kama ndivyo, huwa unaenda hospitali kufanya nini?
 
Madaktari wanapiga ramli, wanakutizama usoni wanakuuliza unakunywa gongo unawaambia ndio, wanakuuliza unasikia maumivu wapi unawaambia hapa, wanatizama miguu na tumbo imevimba aaah... wanakonkuludi! INI limeunguzwa na pombe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifurahisha sana.
 
Madaktari wanapiga ramli, wanakutizama usoni wanakuuliza unakunywa gongo unawaambia ndio, wanakuuliza unasikia maumivu wapi unawaambia hapa, wanatizama miguu na tumbo imevimba aaah... wanakonkuludi! INI limeunguzwa na pombe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom