Hii ndo Tanzania: Kumbe Hawa wa nitarejea anaumwa moyo sio INI kama madaktari wa Tanzania walivyosema

Hii ndo Tanzania: Kumbe Hawa wa nitarejea anaumwa moyo sio INI kama madaktari wa Tanzania walivyosema

Walianza wale wenzao wa mamlaka ya hali ya hewa, wakisema leo jua linawaka basi yakupasa utembee na mwavuli.
Sasa naona na madaktari nao hawataki kupitwa, siku hizi ukipima hawakukosi na UTI. Kama ilivyokuwa kwa malària
 
Back
Top Bottom