Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

1.sugu
2.fid q
3.j mo
4.solo thang
5.xplastaz
6.imam abass
7.ngwea
8.joh makini
9.mwana fa
10.kalah pina
 
1.Jmo
2.solothang
3.prof j
4.ngwair
5.fid
6.gk
7.kalapina
8.bonta
9.roho7
10.baghdad
 
Huyu jamaa ni soo,ila nasikitika kwamba ni the most underrated mc kwa bongo.Wanaoijua Hiphop tu ndo wanajua ubora wa jamaa,wengi wamemkariri tu Fid Q eti kisa vile vimesemo vyake,hawajui kwamba hiphop ni zaidi ya misemo
Pini zake za miaka 10 iliyopita hadi leo utazi-feel tu.....jamaa anajua, sema dah, kimya sana yaani!
 
Unatisha mzazi, huyu jamaa, dah! sijui yuko wapi sijui....mistari yake ilikuwa full mbolea!!
 
Dah, yaani hata kama Chid Benz sijamuona popote akiwa mentioned, huyu kwangu hawezi kosa kwenye Top 3, and my complete list being:
1.Jay Moe
2. Fid Q
3. Chid Benzino
4. Mwana-FA
5. Afande Sele
6. Prof J
7.Ngwair
8. Joh Makin
9. Immam Abbas
10.Langa
 

prof J Chini Ya Mwana FA unatania ww ........
 
napanga list hii nikitumia kigezo cha real hip hop na si vinginevo.
1. JAY MOE
2.SOLO THANG
3.IMMAM ABBAS
4.PROF J
5.FATHER NELLY
6.NGWAIR.
7.BALOZI.
8.AFANDE SELE
9.FID Q
10.CHINDO MAN WATENGWA
 
1.Mvua na jua
2.maisha ya boarding
3.bishoo
4.mshamba
5.feimas
6.sihitaji
7.jipange
8.wanashangaa
9.stori 3
10.kimyakimya

11.ingekuwa vipi
12.tingisha
13.bounce
14.cheza kwa step
15.comentary
16.kama unataka demu
17........
18........
19.........
20.........

hizi shit miaka 100 hazichuji dah!respect kwako JUMA MCHOPANGA japo wamekubania vya kutosha
 
Sihitaji kula kwa kulipwa vitu feki/
nahitaji kula kwa kuvutia mashabiki/
sitatui matatizo kwa kupitia tu muziki/
hata nisipopata tuzo mungu ameshanibariki/

dah!lord eyez alipelekeshwa puta sana humu..
Moo achana nae
 
1) Jay Mo
2) Jay Mo
3) Jay Mo
4) Jay Mo
5) Prof Jay
6) Solo Thang
7) Sugu
8) Chief Ramson (Zavara) wa KU Crew,
9) D na K wa mapacha
10) Hashim Dogo
 
1) Jay Mo
2) Jay Mo
3) Jay Mo
4) Jay Mo
5) Prof Jay
6) Solo Thang
7) Sugu
8) Chief Ramson (Zavara) wa KU Crew,
9) D na K wa mapacha
10) Hashim Dogo

p funk majani producer bora wa hiphop bongo wa miaka yote anasema kafanya kazi na wasanii mbalimbali lakini J mo hakuna ambaye anapata kiwango chake,ni moja ya msanii ambaye utajihisi raha mda wote wa kazi,na hata akiacha kurecord mziki atakuwa anarekodi kazi za J mo tu!
Na moja ya msanii anayemfanya mpaka sasa anatengeneza bits za hiphop
 
Dah, yaani hata kama Chid Benz sijamuona popote akiwa mentioned, huyu kwangu hawezi kosa kwenye Top 3, and my complete list being:
1.Jay Moe
2. Fid Q
3. Chid Benzino
4. Mwana-FA
5. Afande Sele
6. Prof J
7.Ngwair
8. Joh Makin
9. Immam Abbas
10.Langa

Hivi Immam Abbas ana nyimbo ngapi? Mi nazijua 2 tu
 
Dah, yaani hata kama Chid Benz sijamuona popote akiwa mentioned, huyu kwangu hawezi kosa kwenye Top 3, and my complete list being:
1.Jay Moe
2. Fid Q
3. Chid Benzino
4. Mwana-FA
5. Afande Sele
6. Prof J
7.Ngwair
8. Joh Makin
9. Immam Abbas
10.Langa

Chid Benz mkali sana,ni moja ya wanahiphop waliokamilika bongo.Anaflow kali,sauti ya kughani,anajua kuandika,anajua kufreestyle.Sema kinachofanya watu wamchukie ni tabia zake.Ila mimi pia kwenye top 10 yangu siwezi kumuacha
 
Washabiki weng wa Hip Hop wa juzi hawawez kumkumbuka mtu kama Imamu Abbas, naikumbuka Mitaa ya Kati. ni Msanii wangu bora Hip Hop wa miaka yote.

Nafikiri watu wengi wanachanganya sana kuna wasanii wametoa track chache sana so ni ngumu sana kuwaweka kwenye ALL TIME HIP HOP MC IN TANZANIA,wasanii kama Imam Abbas,Faza Nelly(RIP),Dogo Hashim,Salu T,Jose Mtambo na wengineo but still wana mchango mkubwa sana kwenye Hip Hop ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…