Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

Msichanganye Dogo Hamidu na Hashim dogo ni kama mbingu na ardhi.Muulize Mwana FA, muulize Jmoe, muulize Chindo Man , muulize Salu T, muulize Kala Pina,muulize Fid Q au Saigon wote wanakwambia Emcee mkali kuliko wote kwa Hip Hop ni Hashim dogo. najua vinyulinyuli wengi hawanisomi kabisa hapa
 
Msichanganye Dogo Hamidu na Hashim dogo ni kama mbingu na ardhi.Muulize Mwana FA, muulize Jmoe, muulize Chindo Man , muulize Salu T, muulize Kala Pina,muulize Fid Q au Saigon wote wanakwambia Emcee mkali kuliko wote kwa Hip Hop ni Hashim dogo. najua vinyulinyuli wengi hawanisomi kabisa hapa

hilo ni kweli ila kwa wasanii wenzake ambaye wanakuwa nae mda mrefu ndo wanaelewa hivyo ila kwa washabiki wao wanatoa kura kwa kuangalia ametoa track ngapi kali!
Mimi nimemwelewa hashim ktk DIRA na TUNASONGA tu..
Ila kwa mtu kama J moe nikianza kutaja nyimbo zake nitajaza seva!
Tatizo hashim hajakaa kwenye game mda mrefu ili kuwapa wigo mpana mashabiki wa kumjaj na wengine,
mi namweka ktk kundi la kina IMAM ABAS,FATHER NELLY,SALU T,BALOZI,RADO,n.k
 
1.Chindo Man(UMBWA)
2.G nako
3. Lord Eyes
4.Roma
5.Mapacha
6.AY
7.Mangwea
8.JCB
9.Solo Thang
10.Kala Jeremiah
 
Mungu wangu Solo Thang Yuko Chini Ya G nako Hahhaaaaa daaaaah Ngoja Tukaushe Tu........
 
Maisha ya boarding noma
jmo nimesoma
na ndipo nlpopata neno ulimwengu ndo mama
primary ckupas
ckuwa na nyota njema
ikabidi nisome boardng
kuepuka na lawama
kama wewe form one shida kibao utapata
kuna kuibiwa,kuna adhabu maisha kama vita
siku za mwanzoni
ni siku za kufanya tathmini
niliogopa sana mambo ya kupga sim chooni....
Mtoto wa mama bora usome day bongo dar es salam
ilambo hakuna tution
ilambo hakuna fashen
kama unaenda town
mpaka utegee gari ya mishen


Ah hah hah hah Aliichana vibaya vibaya hiyo shule ya Irambo...
 
Hehe
nimesaini autograph nyingi
zaidi ya mkataba kwa form
na nimegonga warembo wengi zaidi ya nakala za Mamu
labda if i wasnt famous nisingewapata hawa mademu
au pesa nyingi wangenichuna
mpaka kutimiza zangu dream
celebrity mimi simple sina mbwembwe sina pozi
you see me riding solo
sina wapambe sina walinzi
wananiita rolemodal
nina ushawishi kama kiongozi
sio yule modal aliye nusu uchi
kwenye maonyesho ya mavazi
sina umaarufu wa kishamba
kila chaka kuuza sura
nimeanza kwenye nyumba
sina presha na corrola
sembuse we bajaji
naeza panda daladala
makondakta mi washkaji
so nasafiri kisela
mpaka rais ananijua
nenda kaulize wanawe
wasipoongea na mshua
mi ntaongea nae mwenyewe
Tuzo hawajawahi nigea
this year wamenigea wenyewe
baada ya lundo kunibania
ambazo nilistahili nipewe

Mo...!
 
mpaka rais ananijua nenda kaulize wanawe/
wasipoongea na mshua mi ntaongea nae mwenyewe/
tuzo walinibania this year watanigea wenyewe/
baada ya lundo kunibania, ambazo nilistahili nipewe/

ukichunguza vzr jamaa anawafunika sana kwenye colabo ndo mana mtu akimshrksha trak 1 hatak tena cku nyngne

1.ukisikia paa remix(jcb alijuta kumshrkisha)

2.mchizi wangu rmx(humu alikmbz mbaya)

3.jirushe rmx(hii nymbo unaweza sema yake)

4.ingekuw vp(mwanafaty toka siku hyo hatak kumpa colabo jmo kisa nyimbo hii)

5.girlfriend(humu balaa)

6.wanashangaa(jcb alipotezwa vbaya na shairi zake za kuungaunga)

7.msela(humu wateule wamebebwa sana na Mo)

8.vilevile(tafuta hii trak ujione mwenyewe Mo alichofanya)

9.tathmini(prof j alipga saluti humu)

10.sihitaji(lord eyez alijuta kupga nae kolabo)

Alafu kuna nyimbo alipiga na salama jabr wamemwimbia mtoto wa mengi aliyefariki

11. kimbia fasta.( hii alifanya na kingoko,babu wa kitaa,mox na langa)
 
Back
Top Bottom