Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

umeanza kusilikiza lini hii miziki?
Hilo dongo lilitolewa na Mo Technique mwaka 2007 katika song lake linaloitwa JIPANGE akiwa kamshirikisha KIMYA aliyekuwa producer wa KIKOSI RECORD!
icheki hyo song
www.waptrick.com
Dah! Kweli,umenikumbusha. Wapi Kimya wa kikosi,au ndo kaamua kuwa kama jina lake. Anachana sana kwa kiingereza.
 
1.Mvua na jua
2.maisha ya boarding
3.bishoo
4.mshamba
5.feimas
6.sihitaji
7.jipange
8.wanashangaa
9.stori 3
10.kimyakimya

11.ingekuwa vipi
12.tingisha
13.bounce
14.cheza kwa step
15.comentary
16.kama unataka demu
17........
18........
19.........
20.........

hizi shit miaka 100 hazichuji dah!respect kwako JUMA MCHOPANGA japo wamekubania vya kutosha
Wanashangaa akiwepo na Jcb na kiitikio ni Nakaya. Naikubali sana.
 
1.pina
2.solo thang
3.sugu
4.prof.jay
5.afande sele
6.adili
7.hashim dogo
8.imam abas
9.jay moe
10.nikki mbishi
 
Wakazi mbona hayupo kwenye list?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sio kweli,kimbia fasta JMO hakushiriki,hao uliowataja ndo walikuwepo

uko right Asilimia 100 pia mcheki jay moe kwenye hizi nyimbo HORSE PFUNK FT IMAM ABAS AND JAY MOE,NARUDI SHULE JAY MOE FT FA,MIDA MIBOVU NGWEA FT TEAM BONGO RECORDS. DAH SIDHANI KAMA KUNA MSANII NTAKAE KUJA KUPENDA STYLE YAKE KAMA JAY MOE.
 
Katika simu yangu Jay Moe aliingia kwa kusema ''Simu yangu ni soo, kuishika mtu sikubali, hata niwe na Demu wangu simu yangu ntaiweka mbali, na sichelewi kuizima nkaiwasha nkiachana nae, najuwa ikiwa hewani nitagombana nae...

Buzz 27 25 16,
SMS inakwenda hata kama hela imekwisha!
 
Buzz 27 25 16,
SMS inakwenda hata kama hela imekwisha!


Simu ikileta ujinga nauza na kununua nyingine... toka mwaka 2000 mpaka leo zaidi ya nane...
Lakini sometyme inanipa wendawazimu...
Dola tano tano zinavyoisha mi sina hamu...
 
ndugu zako wametoka Bush wamekuja mjini...
hauwapokeo vifirushi unawauliza mmefuata nini...

Yupi bora kati ya ndugu na rafiki
Mwenye busara akufaae kwenye dhiki
Na asie na msaada kwa ndugu hatambuliki
Asie na msaada kwa Mungu hana ridhiki...


Ubora wa ndugu na rafiki
Inategemea na msaada
Akufaae kwenye dhiki
Kwako ndo mwenye faida

Tumeumbwa na Mungu wote tuwe kitu kimoja
Walimwengu, Wanajeshi walimu na masoja
Ulie kinyume na haya hukumu yako inakungoja
 
Ni Buzz 277, 690
Piga namba hii popote uliza Solo,
Kama ni Kimeo usipige kwani Mgogoro,
Hata kama niko Dar, Nitajibu niko Moro.


Wananiita solo thang a.k.a not reachable
Hapo simu nshazima natafutwa na vinabo
Wakiiba hii moja tu mi nanunua double
Ilimradi tu hewani haina shobo
 
(1)Kala pina(2)sugu(3)solo thang(4)afande sele(5)j moe(6)prof jay(7)saigon(8)FA/mangwea(9)joh makini(10)fid q/jcb/chid benz.
 
Back
Top Bottom