Hii ndoto ilinifanya nikasilimu

Umechagua njia sahihi kwa wanaojisalimisha mbele ya Mungu na Mungu pekee ndiye wanaemuomba msaada.
Kuliko ungeendelea kuomba viumbe msaada kwa kutaja majina yao au kuomba mizimu kwenye miti mikubwa, au kuwa kerubi wa zumaridi au kuamini na kumuita yule mnyakyusa kuwa ni nabii
 
Uislam ndiyo dini bora kwa binadamu.
Kuna hikma nyingi sana katika maswala ya kibinadamu kama ndoa,mirathi,mazishi nk.

west saivi Kuna crisis ya ndoa, ndoa nyingi zinavunjika wanawake hawashikiki, mambo ya haki sawa na Ushoga umetamalaki.

solution ya yote haya ni uislam
 
Zote tumeletewa sisi hatuna chetu. Bara la Afrika ndilo bara halina dini yake
 
Unafanya dhambi kubwa na kumkosea Muumba wako unapompa Yesu binadamu kama Wewe hadhi ya Mungu.

Yani unamuabudu binadamu mwenzio
Yesu alikuwa Nabii kama manabii wengine, na hakuwahi kusema yeye ni Mungu

Kina Paulo na Waroma ndio waliochakachua na kuanza kumuabudu Kama Mungu.
Shirki mbaya sana.
 
sawa unesikumu lakn hiyo profile pic yako mbna hujaibadili kuwa kweny muonekano wa kueleweka yaan haiko understandable
Aah sio lazma profile ieleweke. Ukielewa Quran tu inatosha
 
Unapata faida gani kutunga uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…