kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Habari za weekend wakuu.
Kuna ndoto nimeiota usiku wa kuamkia leo imenishangaza kidogo na sijaelewa inanipa ishara ya jambo gani nikaona niwaulize humu watu wenye uelewa wa haya mambo ya ndoto.
Iko hivi nimeota ilikua usiku wa giza niko naelekea stand ya bus nikiwa na abiria wenzangu tukiwa tunawahi usafiri,mara ghafla tukiwa tunatembea kuelekea stand ya bus mara umeme ukakatika ,sehemu tuliyokua tunaelekea kulikua kuna kama kijikichaka hivi tunapita then ndio tunatokea stand ya bus, sasa ghafla kwenye kile kichaka tukasikia sauti ya kijana mmoja wa kiume ambae mimi sikua namjua analia kuwa ameng'atwa na nyoka,mara ghafla tena wakatokea vijana wengine wamemshika yule nyoka aliyemuuma yule kijana wa kwanza wakiwa wanatuomba tumsaidie yule kijana aliyeumwa na nyoka.ndoto ikaishia hapo
nikashtuka kutoka usingizini huku nahema hatari.
Je, wakuu hii ndoto ina maana gani kwenye ulimwengu wa roho au niipotezee tu?