Hii ndoto inaashiria nini, au naumwa??


Una Mapepo ndiyo yanayokuchua wakati umelala na kuhisi unapaa angani. Na huyo mwanamke uniliyemuona ndotoni kama mpenzi wako ni pepo la kike limekupenda na pia waweota mnagegedena na kuamka asubuhi umechafua night dress na mashuka. Nipigie au ni inbox kwa maelezo zaidi. Pole sana
 
Acha kuangalia muvi za supaman, ushakua hivyo.
 
Naona mtu wa karibu na sheikh yahaya aliyebaki ni kikwete tu. Nakushauri mpigie simu muulize au mfuate magogoni.

Kikwete angekuwa anatumia tigo angepiga sana kwako....Maana hata kwenye thread ambazo hausiki anatajwa.
 
Kikwete angekuwa anatumia tigo angepiga sana kwako....Maana hata kwenye thread ambazo hausiki anatajwa.
Kwa kweli si kwamba inasikitisha lakini yaonesha watu walivyokuwa na chuki binafsi juu ya mheshimiwa Rais na kumdhihaki hata pale pasipo husika. Huu ndiyo U great thinker au great hatred. Mtu amekuja na issues genuine halafu jamaa anichukua lightly. Your hatred does not lower him as a President, it only pains you, it affects you psychologically and it affects your mental wellbeing and it won't make him cease to be a president or respected human being. On top of that it ruins you and wasting you time to think him negatively.
Hatred is the coward's revenge for being intimidated.” Yaelekea huo ni woga wako kwa mheshimiwa
― George Bernard Shaw
ila hongera sana
 
Usilale mara tu anapomaliza kula angalau kaa kwa lisaa limoja kabla ya kulala,usishibe sana usiku,usitumie vitu vyenye nicotin(sigara) au kahawa,bangi ,pombe na vilevi tofauti tofauti,
 

inaonekana hapo baadae utakuwa mtu mkubwa(muheshimiwa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…