Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Huu ndio uwezekano mkubwa.Unajulishwa kuwa kuna watu wanakufanyia uchawi lakini bado hawajafanikiwa wanachokilenga kukifanya kwako. Chukua hatua, na kama ni ndoto inayojirudiarudia usiipuuze.
NB: Kama hauamini uchawi upo basi amini kwamba ni ndoto tu kama ndoto zingine.
We falaKabla ya kukimbilia kwenye uchawi..
Kwanza nyumba unayo lala inapitisha hewa vizuri?..hauna malaria?au magonjwa? Unakula vizuri?