LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
kwanza kabisa mtanisamehe kwa kuwasumbua kila wakati kwa kuja hapa kuhitaji msaada wenu lakini nashukuru kwa majibu yenu mazuri ambayo wakati mwingine yananifanya kuwa makini na mambo yajayo,
ipo hivi kwanza kabisa mazingira ya hii ndoto na watu wote waliokuwepo nawafahamu ni huko kijijini kwetu,
inaanzia hivi kuna mtu namjua anapita anatuambia tukaangalie mpira wa simba na ile timu sijui inaitwaje ambayo watacheza nao kwenye robo final sisi tukiwa wawili na kaka yangu upande wa mama mwingine tunalingana rika, yule mtu akaondoka ni kijana tu kama mimi,
tukaenda tukawasha TV tukakuta TV inaonyesha tu mashabiki wanashangilia goli la pili na sisi tukashangilia ila baada ya kushangilia yakaja maandishi hapo juu kwamba kumbe walikuwa ni simba Queens timu ya wanawake sio ya wanaume,
basi tukaondoka nikawa nimeachiwa na mtu nimwangalizie duka la dawa sasa akaja mke wa tajiri mmoja kijijini kwetu ni mwanamke mrembo sana, sio kwenye ndoto tu hata kiuhalisia iko hivo, basi akaomba nimpatie dawa ya kichwa nikampa panadol akasema hiyo sio dawa ya kichwa bali ni ya tumbo akakataa kuchukua, mazingira ya hii ndoto tulikuwa eneo la mto yaani pembezoni ya mto hivo muda wote huo hatukuwa ndani
basi tukaondoka wakati tunapandisha kilima kutoka ndani ya mto ambao maji yake yopo tu katika vidimbwi tukakuta mlango sasa hapo sikuelewa ilikuaje ila yule mwanamke alikuwa katika hali ya kujiuliza, wakitukuta tukiwa wawili hapa itakuwaje?
basi nikamfungulia mlango uliokuwa umefungwa na kufuli, wakati anatoka ilikuwa ni kama anaenda kwenye tukio hapo kijijini sijui ili kuwa sherehe,msiba au mechi ya simba,
Kutazama nyuma bondeni kuna kama mchanga ule tunachotaga kujengea, nikaanza kuona miatano na elf moja zikiwa katika mstari, yaani ni kama ilikuwa ni kama mtu alizibeba kwenye mfuko zikawa zinamwagika bila yeye kujua, nakafuata na kuanza kuziokota nikifuata zinakoelekea ilibidi nikaenda kuanzia kama mwanzoni hivi kule zilipoanza kudondokea huko ndo nilianza kuokota elfu tano tano na elfu kumi kumi nyingi niliokota mfuko wa ukubwa size ya ile mifuko ya 500, ulikuwa umeanza kujaa ghafla akatokea mtoto simfahamu alivyoniona naokota naye akaja tukawa tunaokota nae kila mtu akiokota kadri ya awezavyo kuna sehemu tulifika tunakuta maji ila ya ugoko ikimaanisha yule aliye ziangusha alipitia humo hivo zingine ziliangukia humo ila sisi tuliangalia pembeni pembeni na kuziokota maana zingine ni kama zilipigwa na upepo zikasogea pembeni, ghafla wakatokea majirani na baadhi ya ndugu akiwemo Dada yangu kule upande ambako nilianzia kuokota miatano na elfu moja, nao wakiwa wanaokota, muda huoo mimi mfuko wangu umesha jaa hivo naendelea tu kushindilia,