Jana ndio ilikuwa Mara yangu ya kwanza nasikia ngoma ya lavalava nilikuwa sijawahi kuitafuta kuisikiliza ila wakati nipo kwenye daladala ndipo ngoma nikaisikia ya Tajiri jamaa latisha Sana kuanzia idea yake mpaka melodies Cha muhimu asiwe anakaa kimya Sana bila kutoa ngoma kwa kipindi hiki Cha sasa si chakutoa ngoma 1 kwa mwaka lazima watu wakusahau.