inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Al hilal walilinda(2)yanga walitaka kupata ushindi mnono,walau mbili bilaSwali.1- kwanini Yanga walishindwa kupata ushindi wakiwa nyumbani wakati wanawashambuliaji wazuri?.
swali 2-baada ya Yanga kuongoza kwa goli moja sababu zipi zilitokea wakashindwa kulinda ushindi wao mpaka Al hilaly wakachomoa?
Al ahly alimpiga 4 Vita kwake,baada ya Vita kushi 2 Cairo na kuiweka matatani ahly kusonga mbeleUmeandika vizuri ila Mpira wa Africa hauko Kama ulivyoandika hapa.Mara nyingi mashindano ya kiafrika kila mtu anashinda kwake.Ni ngumu kupindua meza ugenini,labda tu uwe mzembe na kudharau mechi km ile Simba na Galaxy.
Hawa Al hilal hawajaidharau hii gemu yao na yanga.Ibenge anajua yanga Ni hatari na watakuja na nguvu zote maana hawana Cha kupoteza,kwao (yanga) ili wafuzu lazima waweke mpira wavuni.Suluhu ya 0-0 yanga anatoka,so yanga wataenda na mentality ya kutafuta goli,na hapo ibenge ndipo atakapowaadhibu
Kwangu mimi,hata yanga angeshinda moja bill,bado kazi ingekuwa ni nzito Sana kule Khartoum,sembuse matokeo ya 1-1. Wacha tusubiri hiyo jumapili!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Siyo ngumu sana.Ngumu Sana
Game zote timu za Tz ni JumapiliHi ni jumapili au jumamos ? Mbna unatuchanganya mzee !!!
Bro, mnajipa moyo mnajifarijiHuu sasa ndiyo uchambuzi.
Mashuti ya mbali yatapigwa na Nani? Unadhan Ibenge hajaifatilia Yanga? hajui kama Feitoto ni hatari Kwa kunyoosha mashuti? klab bingwa timu husoma Sana wapinzani kabla ya mechi, maana mpaka kuchukua ubingwa mechi hazifiki 15, mpaka kuchukua ubingwa unakutana na timu sio Zaid ya 10. Ni mechi chache Sana na zinachezwa kimkakati zaidKama mpira ni uchawi basi tuseme Yanga bye bye, lakini Kama siyo uchawi ni uwezo wa timu na mbinu za makocha basi hii mechi ya Yanga dhidi ya Al Hilal bado ngumu sana tena sana.
Kama uliangalia ile mechi ya kwanza vizuri Yanga inaonyesha ina washambuliaji wazuri zaidi ya Al Hilal na huku ikiwa Yanga Al Hilal watatumia mpira wa kushambulia Yanga zaidi kuliko kuzuia hakika watatolewa.
Kama watazuia na kutumia ma contre attacking itakuwa vigumu kwa Yanga kupata matokeo. Ila wakitumia hii mbinu ya kuweka viungo wengi katikati na kuzalisha ma shuti ya mbali hawa Al Hilal wanaweza kutolewa.
Ila ni macho yetu!
Simba kwa Galaxy alipigwa vizuri tu na wala siyo kuwa alidharau mechi.Umeandika vizuri ila Mpira wa Africa hauko Kama ulivyoandika hapa.Mara nyingi mashindano ya kiafrika kila mtu anashinda kwake.Ni ngumu kupindua meza ugenini,labda tu uwe mzembe na kudharau mechi km ile Simba na Galaxy.
Hawa Al hilal hawajaidharau hii gemu yao na yanga.Ibenge anajua yanga Ni hatari na watakuja na nguvu zote maana hawana Cha kupoteza,kwao (yanga) ili wafuzu lazima waweke mpira wavuni.Suluhu ya 0-0 yanga anatoka,so yanga wataenda na mentality ya kutafuta goli,na hapo ibenge ndipo atakapowaadhibu
Kwangu mimi,hata yanga angeshinda moja bill,bado kazi ingekuwa ni nzito Sana kule Khartoum,sembuse matokeo ya 1-1. Wacha tusubiri hiyo jumapili!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
La kuvunda halina ubani.Huu sasa ndiyo uchambuzi.
Labda atoke Kwa kufungwa lakini Yanga hawezi kukosa goli Sudan.Yanga walivyo wapuuzi wanaweza toka 0-0 halafu wakarud na kauli za kujifariji kuwa wamepambana Sana lakn ndio hvyo watasahau Kama wametolewa kwenye mashindano
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app