Hii ngoma ya Al Hilal na Yanga bado ngumu

Hii ngoma ya Al Hilal na Yanga bado ngumu

Swali.1- kwanini Yanga walishindwa kupata ushindi wakiwa nyumbani wakati wanawashambuliaji wazuri?.

swali 2-baada ya Yanga kuongoza kwa goli moja sababu zipi zilitokea wakashindwa kulinda ushindi wao mpaka Al hilaly wakachomoa?
Al hilal walilinda(2)yanga walitaka kupata ushindi mnono,walau mbili bila
 
Umeandika vizuri ila Mpira wa Africa hauko Kama ulivyoandika hapa.Mara nyingi mashindano ya kiafrika kila mtu anashinda kwake.Ni ngumu kupindua meza ugenini,labda tu uwe mzembe na kudharau mechi km ile Simba na Galaxy.

Hawa Al hilal hawajaidharau hii gemu yao na yanga.Ibenge anajua yanga Ni hatari na watakuja na nguvu zote maana hawana Cha kupoteza,kwao (yanga) ili wafuzu lazima waweke mpira wavuni.Suluhu ya 0-0 yanga anatoka,so yanga wataenda na mentality ya kutafuta goli,na hapo ibenge ndipo atakapowaadhibu

Kwangu mimi,hata yanga angeshinda moja bill,bado kazi ingekuwa ni nzito Sana kule Khartoum,sembuse matokeo ya 1-1. Wacha tusubiri hiyo jumapili!!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Al ahly alimpiga 4 Vita kwake,baada ya Vita kushi 2 Cairo na kuiweka matatani ahly kusonga mbele
 
TUMIA AKILI yanga Inamtegemea FISTON MAYELE PEKE YAKE KWENYE SAFU YA USHAMBULIAJI NDIO AFANYE MIUJIZA.

Akati Simba Ina
Chama.
Okra.
Phiri nk.

No Mayele No UTOPOLO
 
Kama mpira ni uchawi basi tuseme Yanga bye bye, lakini Kama siyo uchawi ni uwezo wa timu na mbinu za makocha basi hii mechi ya Yanga dhidi ya Al Hilal bado ngumu sana tena sana.

Kama uliangalia ile mechi ya kwanza vizuri Yanga inaonyesha ina washambuliaji wazuri zaidi ya Al Hilal na huku ikiwa Yanga Al Hilal watatumia mpira wa kushambulia Yanga zaidi kuliko kuzuia hakika watatolewa.

Kama watazuia na kutumia ma contre attacking itakuwa vigumu kwa Yanga kupata matokeo. Ila wakitumia hii mbinu ya kuweka viungo wengi katikati na kuzalisha ma shuti ya mbali hawa Al Hilal wanaweza kutolewa.

Ila ni macho yetu!
Mashuti ya mbali yatapigwa na Nani? Unadhan Ibenge hajaifatilia Yanga? hajui kama Feitoto ni hatari Kwa kunyoosha mashuti? klab bingwa timu husoma Sana wapinzani kabla ya mechi, maana mpaka kuchukua ubingwa mechi hazifiki 15, mpaka kuchukua ubingwa unakutana na timu sio Zaid ya 10. Ni mechi chache Sana na zinachezwa kimkakati zaid
 
Umeandika vizuri ila Mpira wa Africa hauko Kama ulivyoandika hapa.Mara nyingi mashindano ya kiafrika kila mtu anashinda kwake.Ni ngumu kupindua meza ugenini,labda tu uwe mzembe na kudharau mechi km ile Simba na Galaxy.

Hawa Al hilal hawajaidharau hii gemu yao na yanga.Ibenge anajua yanga Ni hatari na watakuja na nguvu zote maana hawana Cha kupoteza,kwao (yanga) ili wafuzu lazima waweke mpira wavuni.Suluhu ya 0-0 yanga anatoka,so yanga wataenda na mentality ya kutafuta goli,na hapo ibenge ndipo atakapowaadhibu

Kwangu mimi,hata yanga angeshinda moja bill,bado kazi ingekuwa ni nzito Sana kule Khartoum,sembuse matokeo ya 1-1. Wacha tusubiri hiyo jumapili!!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Simba kwa Galaxy alipigwa vizuri tu na wala siyo kuwa alidharau mechi.
 
Usilolijua ni kua kila game ina approach yake tofauti

Ibenge alipokuja kwa Mkapa alikuja na game plan yake na imefaulu kwa asilimia kadhaa kwaio tegemea mchezo wa tofauti kabisa huko Khartoum haitakua sawa na ilivyokua kwa Mkapa
 
Back
Top Bottom