Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Mkuu why unganishe wanawake wote kwa mpuuzi mmoja.Siku watasema wanawake wote hakuna kuvaa nguo dunia nzima utashangaa wakipinga ni udhalilishaji lakini hapo anajidhalilisha hamna anaekemea.... Wanawake bhana