Hii nguo ya jokate sio

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,215
Inafundisha nini jamii huu u supaster wa wapi huu
 

Attachments

  • 1411311379984.jpg
    93.6 KB · Views: 4,812
Biashara hiyo si kitu kigine kwani machizi ndio huvaa hivyo tU.ila. Mtu mwenye kujitambua tena binti hawezi vaa hivyo tena mtaani.labda kama angelikuwa anaigiza tu.pole yake hata mvuto hana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kwani mtu akivaa nguo yake we unategemea kujifunza nini?
 
Kweli kabisa, mtu na akili zake hawezi kuvaa hivi...

Ndo maana wema alimchana kuwa anajifanya mlokole kumbe ndo wale wale...

Huo ulokole jina tu, mi mtu anaevaa hovyo hovyo sijui hua namuonaje kiukweliiii,maana hata ukivaa kiheshima utatongozwa tuu
 
Nitamkoaaa huyooo kama kahongaa,au kazama nae kama Lucy na simu ikakwenda na mayiiii

Hahaaaa...utanivunja mbavuuu....

Jamani ukute kazama kweliii...sijui alikuwa anakwenda wapi masikini...?!!!!!!
 
Huo ulokole jina tu, mi mtu anaevaa hovyo hovyo sijui hua namuonaje kiukweliiii,maana hata ukivaa kiheshima utatongozwa tuu

Labda kaona biashara yake akiifungia ndani inadodaaa...bora aitangazeee...biashara matangazooo eeeeh....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…