Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,215
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha inachekesha hiyo nguo
Naona kavimbiwa kwa umbea...hata kulog in hawezi....manake alishiba sanaaa...
Anaanza kuchanganyikiwa huyu..si buree....!
Ni shida huyu binamu yangu kiama au kidemu kimemkamata leooo
Huyu alishachanganyikiwa.
Kweli kabisa, mtu na akili zake hawezi kuvaa hivi...
Ndo maana wema alimchana kuwa anajifanya mlokole kumbe ndo wale wale...
Wikend hiii...hahahaaaa sipati picha....!
Au kashahonga galaxy?!!!!!
Nitamkoaaa huyooo kama kahongaa,au kazama nae kama Lucy na simu ikakwenda na mayiiii
Huo ulokole jina tu, mi mtu anaevaa hovyo hovyo sijui hua namuonaje kiukweliiii,maana hata ukivaa kiheshima utatongozwa tuu