Hii nguo ya jokate sio

Halafu kuna watu wanasema eti ni mshika dini na mwimbaji kwaya Jocate!!!
 
Namvizia tu kuna kona moja hua anapita atanitambuaaa

Akija mwambie aandike barua ya maelezo kwa nini anaondoka bila kuaga...au akupe ubuyu wa moto moto ndo umsamehee...
 
Akija mwambie aandike barua ya maelezo kwa nini anaondoka bila kuaga...au akupe ubuyu wa moto moto ndo umsamehee...

Ubuyu wa motomoto mpaka niungue mdomoo hapo nitamsameheee bureee
 
Siku hizi simuoni kwenye ile kwaya...Afadhali maana ni disgrace kwa jamii....
 
Lol ukiona kumenoga kwenye kauz uwe unaniita basi kahh

Hhhhhaaaaaa uwe unauanzia mwanzoo ukifika korasi utasahaulika akija tu warumi hapa panachangamkaa sasa hiviiii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…