Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Labda kaona biashara yake akiifungia ndani inadodaaa...bora aitangazeee...biashara matangazooo eeeeh....!
Hizo biashara ngumu sanaaaa aiseeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kaona biashara yake akiifungia ndani inadodaaa...bora aitangazeee...biashara matangazooo eeeeh....!
Hahaaaa...utanivunja mbavuuu....
Jamani ukute kazama kweliii...sijui alikuwa anakwenda wapi masikini...?!!!!!!
Namvizia tu kuna kona moja hua anapita atanitambuaaa
Akija mwambie aandike barua ya maelezo kwa nini anaondoka bila kuaga...au akupe ubuyu wa moto moto ndo umsamehee...
Na hasa kama unajua kuyasoma
Hiyo ni nguo gani jamani???
Fashooonistaaaaa
Mwenzangu!!! Kama wale wehu wanaokuwaga kwenye filamu especially za kiNigeria! Mweeh!!
Mhhhh!!!mie ngoja niendelee na vitenge vyangu.....lol
Nitamkoaaa huyooo kama kahongaa,au kazama nae kama Lucy na simu ikakwenda na mayiiii
Hahahahaha yani nikikumbuka tu hiyo kuzama na galaxy mbavu sina mimi
Mhhhh!!!mie ngoja niendelee na vitenge vyangu.....lol
Na vigagulo vyakoo eeeee endelea nazo utapitwaaaaaa