Hii nguo ya jokate sio

Hhhhhaaaaaa uwe unauanzia mwanzoo ukifika korasi utasahaulika akija tu warumi hapa panachangamkaa sasa hiviiii

Na ww afu mi huaga nakuita lakini we mwenzangu unapenda nisipatee mambo mazuri...........Hahahaaa lol afu na hamu mtu anichokozee ili panoge kama siku ilee sietii enheee
 
Last edited by a moderator:
Biashara zilizochina hazina budi kujitangaza.
 
Ukikaa na madakitari ya akili utapata aina nyingi ya vichaa huyu nae kasibitisha ukichaa wake haiwezekani kwa mtu ambae akili yake iko sawa akae vile
 
Madangaa yanawachanganya binaadamu hivi warumi kazimia kwa umbea au yaan kanitorok mchana kweupeeeee

Mwenzangu, umbea huu utaniua, niliishiwa bundle mwenzio, apa nikasema haiwezekani, nimeenda kukopa kwa mama matonya pale dukani kwa mzaramo
 
Last edited by a moderator:
Tanye

Umeona eeh!! Mwanamke mvuto bibi...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…