Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Lol ukiona kumenoga kwenye kauz uwe unaniita basi kahh
Usijali mumie ila na wewe unajificha sana my dia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol ukiona kumenoga kwenye kauz uwe unaniita basi kahh
Hhhhhaaaaaa uwe unauanzia mwanzoo ukifika korasi utasahaulika akija tu warumi hapa panachangamkaa sasa hiviiii
Anaanza kuchanganyikiwa huyu..si buree....!
Usijali mumie ila na wewe unajificha sana my dia
Yani nimecheka mpaka basi.Eti vigagulo yani neno la kizamani
Na watu tulivyo wanafiki wamemwambia amependezaaaa wakati si kweli kabisaaaa
Haa ukistaajabu ya musa utaona ya firauni Mafikizolo pita hapa wapi warumi binamu
Hahahahaha yani nikikumbuka tu hiyo kuzama na galaxy mbavu sina mimi
Ndo nafika binamu, ngoja nikae mkao wa kula
hata mimi naona hivyo hivyo siku zinavyozidi kusonga mbele yeye ndio anazidi kuwa kituko :angry:
et wewe ndio mbea no one wa jf umesemwa humu hadi basi
Vigagulooo heeheeee
Madangaa yanawachanganya binaadamu hivi warumi kazimia kwa umbea au yaan kanitorok mchana kweupeeeee
Yan we acha tu mpenz nilikua bizy kidogoo......yan adi umbea wa jf unanipitaa iviivi lol unishtuegee basii