Hii nguo ya jokate sio

Hii nguo ya jokate sio

kweli nimeamini kunguru hafugiki!
na mjaa asili haachi asili
 
If u know nothing about fashions hizi vitu zitakupa tabu sana
Joketi ni mwanamitindo mnachoshangaa haswa haswa hapo nini? Mapaja wazi?
 
Ivi huyu Hana wazazi eeh wakumwambia hivi ndivyo na hivi sivyo? Hii aibu kinatishaa👹
 
Mwenzangu, umbea huu utaniua, niliishiwa bundle mwenzio, apa nikasema haiwezekani, nimeenda kukopa kwa mama matonya pale dukani kwa mzaramo

Heee ungeniambiaa nikakurushiaaa binam
 
Hahaha yani hizi siku 3 nimekuwa kama taahira. Nakaa tu afu nikiumbuka mchambo wa Ashu nachekaje kwa nguvu

we km mie ilibidi niutafute maana mi siku hz si sana kwa sintah toka niwe jf
alinchekesha zaidi aliposema eti mwenzenu kaambulia kipigo jana
 
we km mie ilibidi niutafute maana mi siku hz si sana kwa sintah toka niwe jf
alinchekesha zaidi aliposema eti mwenzenu kaambulia kipigo jana

Halaf eti kuanzia leo blog ya sinta imetutenganishaa aisee wanaume marioo hua wanashidaaaa
 
Back
Top Bottom