Hana ushawishi wowote wa maana ni upepo tuu umevumaJohn Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.
Hii combination inawatesa sana ccm, wanatamani wampige risasi wauwe wamrudishie mbowe uenyekitiJohn Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.
Haswaaa, yaani mimi mpaka ringtone yangu nimeweka sauti ya heche akisema no reform no electionHeche, tunae na tunatamba nae.
Acha wivu mshangaziHana ushawishi wowote wa maana ni upepo tuu umevuma
Wewe unaweza shawishiwa na mbutabangi kama Heche? ππAcha kuongea kwa kutumia makalio
Anahubiri hakiJohn Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.
Acha kutafuta umaalufu we mrs mbowe.Wewe unaweza shawishiwa na mbutabangi kama Heche? ππ
Uko sahihi hata awe msemaji mkuu Mnyika, Lema, Boni Yai au Sugu atakuwa maarufu tu.Chdema imekubalika hata Heche akikamatwa atayeingia yoyote akifanywa msemaji mkuu wa CDM atakubalika tu. Chama ni maarufu kuliko mtu hata Mbowe kagundua hilo ndiyo maana anajua akiingia Chaumma hana ule umaarufu tena.
Umejibu nilichokuuliza? Kwamba unaweza tokewa na Heche ukafika bei? ππAcha kutafuta umaalufu we mrs mbowe.
Kutoka kuwa mfuasi wa Magufuli mpaka kuhamia kambi ya Lissu, kweli Ccm wamekuchosha.John Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.
Mshangazi jifunze kuandika, ccm hata kuandika hamjui ndio maana nchi imejaa maduduWewe unaweza shawishiwa na mbutabangi kama Heche? ππ