Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
Chura kiziwi ndo anamuogopa Msingida kiasi hicho?Kamuulize jaji
Chura kiziwi ndo anamuogopa Msingida kiasi hicho?Kamuulize jaji
Kabla ya Januari tulikuwa tunaambiwa mbowe ndiye mwanasiasa asiyeweza kununuliwa nchini.Huyo ndio tegemeo la ukombozi wa hii nchi kwa sasa,wananchi wanamuamin sana,wanajua kabisa jamaa angeweza kukubali kununuliwa kwa pesa ndefu aishi vizuri na familia yake kama kina Mbowe na wenzie,kinyume chake jamaa amechagua kuwa upande wa wananchi hadi leo
Upepo hajawahi vuma bure hata siku Moja.Hana ushawishi wowote wa maana ni upepo tuu umevuma
.Samia hatoboi mwaka huu.
NO reforms no election.
Mbona upepo huo huo unaovuma, unazidi tu kumsukumizia mbali yule mwenyekiti wako! Mwaga pesa, honga! lakini wapi! Weka mabango nchi nzima! Wapi!! Teka, ua, funga, baka, tisha, poteza! wapi!!Hana ushawishi wowote wa maana ni upepo tuu umevuma
Haihitaji upepo tayari ni Rais anasubiria kuapishwaMbona upepo huo huo unaovuma, unazidi tu kumsukumizia mbali yule mwenyekiti wako! Mwaga pesa, honga! lakini wapi! Weka mabango nchi nzima! Wapi!! Teka, ua, funga, baka, poteza! wapi!!
Mda mwalimu, tumesema sana ,ila kwa kua masikio hawana ,mda mwalimuJohn Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.Au ndege wa rangi moja wanaruka pamoja!
View attachment 3367162
Ukitaka kujua kama ni upepo wekeni fair election muone...Hana ushawishi wowote wa maana ni upepo tuu umevuma
Wananchi kwa Pamoja wamekubaliana kuwa wana Njaa ya HakiJohn Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.
Wananchi kwa Pamoja wamekubaliana kuwa wana Njaa ya haki.John Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.
Kwa hakikaNi Mungu tu!
HahahaLisu mna mpango wa kumnyonga lini
SHshhshhshhh!Kutoka kuwa mfuasi wa Magufuli mpaka kuhamia kambi ya Lissu, kweli Ccm wamekuchosha.
Kwa msaada wa mbereko ya policcm, na tumeccm bila shaka. Maana hivi vitu viwili visingekuwepo upande wake, hata Hashimu Rungwe angemshinda.Haihitaji upepo tayari ni Rais anasubiria kuapishwa