chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Kwetu MakurugusiHuna akili mbwa wewe. Unawaza uchawi wa kwenu Bwina mda wote.
Kwetu MakurugusiHuna akili mbwa wewe. Unawaza uchawi wa kwenu Bwina mda wote.
Kwetu Makurugusi na wakati mwingine napatikana KasendaHuna akili mbwa wewe. Unawaza uchawi wa kwenu Bwina mda wote.
Nyumbu zote ndio makengeNo reforms no election kenge wewe
Vigele gele tafadhaliHeche, tunae na tunatamba nae.
Time will tell.Samia hatoboi mwaka huu.
NO reforms no election.
Heche amekuta chama kimeishajengwa na Mzee Mbowe na makamanda wake. Kama ana I avu na ushawishi mwambie yeye na Lissu waanzishe chama chao uone. Watu wanaenda kwasababu ni Chadema. Hata Kingwendu wanhemsikiliza!John Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.Au ndege wa rangi moja wanaruka pamoja!
View attachment 3367162
Nakujua vizuri dogo. Mama yako alikuwa mfuga mamba maarufu BwinaKwetu Makurugusi na wakati mwingine napatikana Kasenda
Baba yangu Mzee Dauda MpakaNakujua vizuri dogo. Mama yako alikuwa mfuga mamba maarufu Bwina
umeniweza chaurembo ningekuwepo ungeililia sana....Heche, tunae na tunatamba nae.
naombeni namba ya simu ya Mbowe "kaka" nimpe HiChdema imekubalika hata Heche akikamatwa atayeingia yoyote akifanywa msemaji mkuu wa CDM atakubalika tu. Chama ni maarufu kuliko mtu hata Mbowe kagundua hilo ndiyo maana anajua akiingia Chaumma hana ule umaarufu tena.
Wewe inaonekana humfahamu John Heche ata kidogo pengine ulikuwaga unaskia jina tu lakini hukuwahi kukutana na ushawishi wake na kufahamu ni mtu wa aina gani.Heche amekuta chama kimeishajengwa na Mzee Mbowe na makamanda wake. Kama ana I avu na ushawishi mwambie yeye na Lissu waanzishe chama chao uone. Watu wanaenda kwasababu ni Chadema. Hata Kingwendu wanhemsikiliza!
Wewe inaonekana humfahamu John Heche ata kidogo pengine ulikuwaga unaskia jina tu lakini hukuwahi kukutana na ushawishi wake na kufahamu ni mtu wa aina gani.Heche amekuta chama kimeishajengwa na Mzee Mbowe na makamanda wake. Kama ana I avu na ushawishi mwambie yeye na Lissu waanzishe chama chao uone. Watu wanaenda kwasababu ni Chadema. Hata Kingwendu wanhemsikiliza!
Nimekaa nae darasani miaka mitatu na naishi nae jirani hapa Jijini Mwanza. Ila inawezekana unamjua sana kuliko mimi.Wewe inaonekana humfahamu John Heche ata kidogo pengine ulikuwaga unaskia jina tu lakini hukuwahi kukutana na ushawishi wake na kufahamu ni mtu wa aina gani.
John Heche ni moja ya vijana hatari wa Chadema waliojengwa na Mbowe mwenyewe ,nyota yake ilianza kung'aa mapema sana na nafasi ya kwanza kubwa aliwahi kuwa mwenyeketi wa Bavicha na kwenye uongozi wake alifanya makubwa sana kwenye ujenzi wa Chama , fatilia kwa undani siasa za Chadema , ukimuona hapo alipo usidhani alikuja kuja tu - ebu fikiria watu ma legend kama Mnyika,Lema,Sugu,na Msigwa wanamkubali dogo aende kabla yao na huku wakati anaingia chadema yeye akiwa kijana wao tyr walikuwa ma God fathers wa chama.
John Heche ana vitu vikubwa viwili ambavyo ndio vimemuweka hapo alipo, ni brain (Uwezo wa kujenga hoja) na Misimamo yake mikali isiyoyumbishwa na chochote wala kubadilika badilika ni mtu wa kuyasimamia maneno yake na ndio maana ata hao Ma godfathers niliowataja hapo juu wamempa nafasi aende mbele yao.
John Heche kwa mara ya kwanza nilianza kumfahamu 2012 kupitia rafiki yangu tulikuwa tukisoma shule moja , jamaa alikuwa akimuongelea sana na kutabiri ujio wake kwamba ndie Mbunge wa tarime ajaye , na wakati huo kumbuka alikuwa bado ni diwani wa kawaida tu uko kwao - na kweli 2015 alishinda ubunge kwa kishindo na ndiye huyu hapa sasa.
Kwahiyo mtu yoyote mwenye nyota ya ukuu huwa lazima kuna majira tu itakaa sehemu yake na ndio wakati huu - kwahiyo msidhani jamaa ameibuka tu
Heche ana-address issues za wananchiJohn Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.Au ndege wa rangi moja wanaruka pamoja!
View attachment 3367162
Majangili ya CCM ni hatariUpinzani ulikuwa umefifia walipoanza tu utekaji ili kuwanyazisha watu na kama wamewaamsha upya watz.
Hata wasio chadema wameungana dhidi ya watekaji,wezi na wauaji
Ni kweli, kuwa na ushawishi unapaswa kuwa na backup ya nguvu ya dola.Hana ushawishi wowote wa maana ni upepo tuu umevuma