Hii nguvu ya kisiasa na ushawiahi mkubwa wa John Heche imetokea wapi muda mfupi?

Hii nguvu ya kisiasa na ushawiahi mkubwa wa John Heche imetokea wapi muda mfupi?

Heche yuko very smart upstairs unlike many ccm school dropouts

Jasiri na anaongea facts,He gives ccm alot of sleepless nights
Mpaka mtu anakubali kutoa hela ya kuchangia tone tone, ujue kakubali points za Heche na kichwa Kingine Lissu
 
Nyakati ni zake alizowekewa na his Maker!!!

Nyakati zinalandana na Baraza la usalama wa Taifa na matakwa yake Kwa sasa!!

Kiroho ni kwamba Taifa linahitaji ukombozi has huku bara,tukichelewa wajukuu zetu watakosa hasta udongo wa kuumba gari,mtu,sungura,Punda!unakumbuka miaka yetu ya tisini tulivyoumba Kwa udongo vimnyama mbali mbali!!?
 
Hana ushawishi wowote wa maana ni upepo tuu umevuma
Nyinyi mliona ushawishi hamwezi kufanya bila ya kutegemea huu uozo wa zoazoa.
20250611_130516.jpg
20250525_203032.jpg
 
John Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.

Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.Au ndege wa rangi moja wanaruka pamoja!

View attachment 3367162
Madudu ya CCM hata wewe ukiwa Chadema lazima watu wakusikilize
 
Heche kiasi kikubwa ukimsikiliza hotuba zake anongea kama Magufuli, kila anapokuwa na mkutano mahali fulani huzungimzia mambo na mipango ya kiuchumi ya mahali husika kitu ambacho raia wanapenda kusikia.

Kifupi hotuba za Heche hazina uanaharakati mwingi kama za Lisu, sasa sijui kama ana uwezo wa kutenda kama JPM. Ukimtazima Heche ni wazi kabisa roll model wake ni JPM ila anaogopa kutamka hadharani sababu hoku nyuma walimtukana sana kwa kisingizio cha Demokrasia ila binafsi mimi nadhani walitumika.
 
Ni huruma tu kwamba kaachiwa jahazi aliongoze kwenye wakati mgumu hali mbaya ya hewa baharini kuna misukosuko mingi na nahodha wa chombo kawekwa ndani, inatia simanzi sana inabidi wananchi wamuone ni shujaa
Sio huruma, ni right person at right time. wkt ambapo mwenyekiti anahangaika na kesi. Amekibeba chama vizuri mnoo
sidhan kama kuna mtu mwingine kwenye hiko chama angeweza hiyo nafai
 
Kukishakua na kiongozi mwenye maono pale juu ,mfumo wote chini yake lazima utakua na maono ,mfano mzuri ni Rais wa Zambia alivyoingia nadarakani ,mambo ya kijinga jinga yaliyokuwa yanafanywa na vibaraka wa marehemu walinyoka kama rula ,na si kwa kupigwa na viboko bali tu kwa kufuata mmwelekeo mpya wa kiongozi aliejuu
 
Watz wanataka haki ya kulindwa, uwajibikaji kwa watuhumiwa wa ufisadi.
Deni la taifa kufika tilioni 107 kwa kipi kilichofanyika ndani ya miaka minne?
Wakati miradi mingi ni aliyoiacha aliyepita na ilikuwa mingi ishalipiwa.
Miradi mipya ni ipi hadi ifikie hio tirioni 107?
 
John Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.

Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.Au ndege wa rangi moja wanaruka pamoja!

View attachment 3367162
G Lema vipi yeye hana??
 
Back
Top Bottom