Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ni kuwapongeza ,wengi ni baada ya kuujua ukweli kuwa Lissu ni Mzalendo kweli kweliSHshhshhshhh!
WaTanzania wa namna hiyo siyo wa kuwasuta.
Ni kuwapongeza ,wengi ni baada ya kuujua ukweli kuwa Lissu ni Mzalendo kweli kweliSHshhshhshhh!
WaTanzania wa namna hiyo siyo wa kuwasuta.
Baby!Heche, tunae na tunatamba nae.
Hata mm ni mfuasi wa Magufuli,yaliyopita si .....twende na LisuKutoka kuwa mfuasi wa Magufuli mpaka kuhamia kambi ya Lissu, kweli Ccm wamekuchosha.
We ni shoga lake ndio maana unasisimka akiongea. Mazombie bwana mapumbavu kwl. Chama kimeshawafia bd hawajitambuiJohn Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.Au ndege wa rangi moja wanaruka pamoja!
View attachment 3367162
Akukomboe we lofa ktk huo upumbavu wakoHuyo ndio tegemeo la ukombozi wa hii nchi kwa sasa,wananchi wanamuamin sana,wanajua kabisa jamaa angeweza kukubali kununuliwa kwa pesa ndefu aishi vizuri na familia yake kama kina Mbowe na wenzie,kinyume chake jamaa amechagua kuwa upande wa wananchi hadi leo
Nimependa sana bandiko lako… hawa Vijana wapewe uongozi Kwa kweli …mradi tu wasifukue makaburi kwa amani ya NchiJohn Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.Au ndege wa rangi moja wanaruka pamoja!
View attachment 3367162
Hilo neno tunatamba nae limenishtua sana. Nilijua vinginevyoHeche, tunae na tunatamba nae.
Makaburi hayatafukuriwa. Jambo moja ninaloamini litafanyika na kufuta maovu na machafu yote ni Kuanzisha Tume ya Uwazi, Usuluhishi na Maridhiano.Nimependa sana bandiko lako… hawa Vijana wapewe uongozi Kwa kweli …mradi tu wasifukue makaburi kwa amani ya Nchi
Haters.....hahahaNi upepo wa muda mfupi utapita... hana tofauti na kiki za kina Diamond. Heche kisiasa ni mdogo hata kwa Abdul Nondo wa ACT.
Anajua kujenga hojaJohn Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.Au ndege wa rangi moja wanaruka pamoja!
View attachment 3367162
Au na baba yako yule anayemwagiwa maziwa utamu na walevi wenzie huko nyuma unyabeni kwake.Akukomboe we lofa ktk huo upumbavu wako
Siku wakipewa nchi Hawa wazalendo watanzania tutasamehewa dhambi zetu woteJohn Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.Au ndege wa rangi moja wanaruka pamoja!
View attachment 3367162
Leo hii unapenda Chadema wewe fisiem chawa wa mwendazake?John Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.Au ndege wa rangi moja wanaruka pamoja!
View attachment 3367162
Kwenda zako huko dudukweeSiku wakipewa nchi Hawa wazalendo watanzania tutasamehewa dhambi zetu wote
🤣 🤣 🤣 🔊Hana ushawishi wowote wa maana ni upepo tuu umevuma
Mzee wa kutwist, mtwistaji mwandamizi, NRNE nayo itwist tuone baba!Ni huruma tu kwamba kaachiwa jahazi aliongoze kwenye wakati mgumu hali mbaya ya hewa baharini kuna misukosuko mingi na nahodha wa chombo kawekwa ndani, inatia simanzi sana inabidi wananchi wamuone ni shujaa
Nanyi vumisheni wa makamu mwenyekiti wenu sijui ndio HashimuHana ushawishi wowote wa maana ni upepo tuu umevuma