Hii ni aibu: CECAFA yatoa Waamuzi 11 AFCON. Hakuna Mwamuzi kutoka Tanzania

Hii ni aibu: CECAFA yatoa Waamuzi 11 AFCON. Hakuna Mwamuzi kutoka Tanzania

Kwenye World Cup ya wanawake mwaka jana kulikuwa na marefarii kutoka Rwanda na Kenya siyo Tanzania.
Pamoja na usimba na Yanga lugha nayo ni changamoto.
Mwamuzi wa kitanzania hawezi kutoa mada ya mpira na kuitetea kwa lugha ya kimataifa.
Hili nalo ni tatizo kubwa..
 
Safi sana, halafu kuna wapumbavu wanataka mechi za simba na Yanga zichezeshwe na refa kutoka nje ya nchi. Tuendelee kupambana na hawa wahuni wetu tunaowaita marefu wa Tz
Du! Mkuu sasa wewe unataka hao hao waamuzi wa mchongo waendelee kutuharibia mechi badala ya kuagiza waamuzi kutoka Ulaya?
 
Du! Mkuu sasa wewe unataka hao hao waamuzi wa mchongo waendelee kutuharibia mechi badala ya kuagiza waamuzi kutoka Ulaya?
Kwahy hua wanaharibu mechi ya simba vs Yanga tuu.?
 
Back
Top Bottom