Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #21
Karibu mtoto mwenzetu tucheze kula mbakishie babaaDuh!!!JF ya sasa hivi kuna watoto wengi sana.
Nipo SUA mkuuHuko UDSM mnasomea upumbavu?
Zaga ndio hili wakuu,limenikera saana
Kwa hiyo hao ma lecturer wako ndo wanajisaidia hovyo?Kuna ma lekchara wapo humu nawajua
Wanafunzi mkuuKwa hiyo hao ma lecturer wako ndo wanajisaidia hovyo?
Kuna ma lekchara wapo humu nawajua
Wanaokunya kunya ovyo ni wanafunzi hapa shuleniMalekchara ndio hua wanakuny@ kwenye hivyo vyoo?
Umeitwa??Mods futa hii thread watu tunakula huku tutatapika
Mkuu Ardhi university ulimaliza kumbe chuo? Na Muhas pia ulimaliza.Nipo SUA mkuu
Achana naye huyo dogo unazid kumpa kichwa.. Punguani fulani angalia thread zake za nyumaMkuu Ardhi university ulimaliza kumbe chuo? Na Muhas pia ulimaliza.
HayaUmeitwa??
Kwani ulizani huku tunagawa pipi na biskuti?
Heading haijitoshelezi?
Haya mambo yakumalizana hukohuko kitaa.! umeshindwa kutoa elimu kwa watu unaoishi nao unakuja kutuchefua wanajukwaa, ovyosana!
Nipo Sua mwaka wa pili nasomea HorticultureMkuu Ardhi university ulimaliza kumbe chuo? Na Muhas pia ulimaliza.
Haya changanya mbaligaaHaya
Ni kichafu saaaaaanaBora hata maneno kuliko hii picha iliyowekwa choo kichafu
Ardhi umemaliza lini?Nipo Sua mwaka wa pili nasomea Horticulture