Hii ni aibu kubwa saana, uendapo chooni safisha choo

Hii ni aibu kubwa saana, uendapo chooni safisha choo

IMAG2509.jpg
 
Mtu unawezaje kwenda choon na kutoka
Bla kuflash itakua n
Ujinga hata mtt wa
Uswaz akienda kwa
Choo lazma aende na maji
 
Haya mambo yakumalizana hukohuko kitaa.! umeshindwa kutoa elimu kwa watu unaoishi nao unakuja kutuchefua wanajukwaa, ovyosana!

Bora hata maneno kuliko hii picha iliyowekwa choo kichafu
 
Back
Top Bottom