Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilifukuzwa tangu mwaka juzi ,nikaamia SuaArdhi umemaliza lini?
Mkuu nilisikia kinyaaa sana yani mpaka nikawa najiuliza huyu mtu ana akili timamu kweli?kwa hiyo picha hata kutawaza hajatawaza...
√kungekuwa na camera humoo, eeeeeh, mbona angehama chuooo huyoo
Na Muhas VP ulimaliza pia au ulifukuzwa?Nilifukuzwa tangu mwaka juzi ,nikaamia Sua
Ukija Sua ukiniulizia chap kwa haraka utanipata
mbona unanipeleleza sana[emoji45] [emoji45]Na Muhas VP ulimaliza pia au ulifukuzwa?
Mkuu au niweke thread zako za nyuma hapa?mbona unanipeleleza sana[emoji45] [emoji45]
Unanidai?
Unanidai?Mkuu au niweke thread zako za nyuma hapa?
Mm nakuuliza kutokana na thread zako za nyuma
VP mkuu umechaguliwa shule gani? Na kwaccombination IPI? PCB au PCM?Unanidai?
kwa hiyo picha hata kutawaza hajatawaza...
√kungekuwa na camera humoo, eeeeeh, mbona angehama chuooo huyoo
Mind your own businessVP mkuu umechaguliwa shule gani? Na kwaccombination IPI? PCB au PCM?
Mkuu. Ban inakuhusu.Mind your own business