Hii ni aibu kubwa sana kwa Harmonize

Na mimi nimeona nimesikitika sana ila ukiwa mwenye nyumba ndo unaweza kuelewa kwanini watu tumeamua nyumba zibaki magofu bila watu. Kadhia niliyoipata kupangisha nyumba Dodoma ilinifanya heri nibaki maskini jeuri kuliko kuwa na wapangaji.

Mpangaji wakati anatoka anakuibia vitanda, magodoro na bado anakutukana mpaka matusi ya nguoni. Heri nibaki na nyumba bila mpangaji kuliko mateso kama ya huyo wa Harmoniser.
 
Sasa Why mantiki ya huu uzi ni nini? Majungu,umbea?

Mzee Have no time to argue with you Kesho Naenda kufanya Training Kwa Watumishi wa Umma Derm house Makumbusho Karibu sana Mzee
 

Kweli bro hawa Watoto wa JF hawawezi Kuelewa Yule mzee anavyojiskia wao ni kuweka Ushabiki mbele bila kutumia Akili
 
Ukiona mwanaume hadaiwi hiyo ni maskini
 
Hatà Mimi nimeona hào ICU na huyo Mzee mwenye nyumba tena ni mtu mwenye heshima hasa. Jamaa wameenda hadi chooni[emoji23]. Chumbà àlichokuwa anaishi jàmaà wamekutà pichà yà diamond ukutàni nà kile kilàinishi(KLY)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…