Hii ni aibu kubwa sana kwa Harmonize

Hii ni aibu kubwa sana kwa Harmonize

Tatizo wanadhani kila mtu ana ushabiki mandazi
Nina Mwaka wa tatu huu cm yangu haina playlist ya nyimbo za bongo cz Sioni wanachoimba zaidi ya kujimwambafai na Kik za ajabu
Sasa Kama huna ushabiki maandazi,

Huu Uzi wa kiumbea umbea umepandisha wa Nini uku jf
IMG_20210729_213949.jpg
 
Nasema tena hii ni Aibu kubwa sana kwa Harmonize Waliobahatika Kuangalia ICU leo watanielewa
Harmonize kwa Kujimwambafai Instagram aha Anaongoza ila in Real life ni anasikitisha hivi kweli Msanii anashindwa kuclear rent anayodaiwa na mwenye nyumba yake yaani analeta Ustar hadi kwenye Kulipa Kodi

Amehama kwenye nyumba akaacha Kuchafu Kupo Hovyo na Kibaya Zaidi Hata kuflash Choo kweli [emoji853] Ndo Msanii wenu huyo

Bill za Maji tu KASHINDWa kuclear Mwenye Nyumba anampgia simu Kumuita ana ignore anajikuta Star wakati hata Kibanda cha kuku hamiliki

Huyu Dogo Ustar unampa Uchizi anajiona hakuna kama yeye na hamna wa kumwambia kitu

Kitu Anachojua ni Kuwalipa Kina Carrymastory, Jaymaudaku Hili Wampromote 24hrs Wamsifie hata Visivyostahili kusifiwa ila Kodi anashindwa kulipa
RickMedia(Hadi gari alimnunulia RickMedia hili awe anampost yeye tu na asiwapost wasafi ila mashart yakamshinda harmo akabeba gari lake)

Ila Harmonize ni Msanii Mwenye Dharau sana tena Dharau za Kishamba
Kutwa kujimwambafai Instagram ila hana lolote ananunua Cheni Kama Toch Wakati Kodi Kashindwa kulipa

Nimemuonea sana huruma Mwenye nyumba tena anaonekana ni Mzee mstaarabu ila hadi ameenda icu Jua yamemshinda isee

Ila Wenye Nyumba Wajifunze Msiwapangishie Hawa Wasani hawana lolote zaidi ya Majina Makubwa bila Faida yeyote Useless Kabisaa

Harmo alipe Kodi aache kutuibisha Mashabiki Wake Yeye si Msanii number Moja anashindwaje kulipa Kodi

Wacha Wanigeria Watukimbize cz Wasanii wetu Asilimia Kubwa akili hawana Elimu hawana wanaotea tu kwenye ustar unawachanganya wanajiona hakuna kama wao Wakati kulipa kodi kunawashinda

Ndo maana playlist yangu nyimbo zote za nje hawa Wasanii wa bongo hamna kitu ni Makelele tu na Kujimwambafai Instagram (Instagram inafanya kila mtu anaonekana tajiri while in real life shida tupu)

[emoji625]Note: Mimi Sio Shabiki Mandazi kutetea hata ambavyo havifai kutetewa kisa kumtetea Msanii that is totally stupidity
Na mimi nimeona nimesikitika sana ila ukiwa mwenye nyumba ndo unaweza kuelewa kwanini watu tumeamua nyumba zibaki magofu bila watu. Kadhia niliyoipata kupangisha nyumba Dodoma ilinifanya heri nibaki maskini jeuri kuliko kuwa na wapangaji.

Mpangaji wakati anatoka anakuibia vitanda, magodoro na bado anakutukana mpaka matusi ya nguoni. Heri nibaki na nyumba bila mpangaji kuliko mateso kama ya huyo wa Harmoniser.
 
Sasa Why mantiki ya huu uzi ni nini? Majungu,umbea?

Mzee Have no time to argue with you Kesho Naenda kufanya Training Kwa Watumishi wa Umma Derm house Makumbusho Karibu sana Mzee
 
Na mimi nimeona nimesikitika sana ila ukiwa mwenye nyumba ndo unaweza kuelewa kwanini watu tumeamua nyumba zibaki magofu bila watu. Kadhia niliyoipata kupangisha nyumba Dodoma ilinifanya heri nibaki maskini jeuri kuliko kuwa na wapangaji.

Mpangaji wakati anatoka anakuibia vitanda, magodoro na bado anakutukana mpaka matusi ya nguoni. Heri nibaki na nyumba bila mpangaji kuliko mateso kama ya huyo wa Harmoniser.

Kweli bro hawa Watoto wa JF hawawezi Kuelewa Yule mzee anavyojiskia wao ni kuweka Ushabiki mbele bila kutumia Akili
 
Nasema tena hii ni Aibu kubwa sana kwa Harmonize Waliobahatika Kuangalia ICU leo watanielewa
Harmonize kwa Kujimwambafai Instagram aha Anaongoza ila in Real life ni anasikitisha hivi kweli Msanii anashindwa kuclear rent anayodaiwa na mwenye nyumba yake yaani analeta Ustar hadi kwenye Kulipa Kodi

Amehama kwenye nyumba akaacha Kuchafu Kupo Hovyo na Kibaya Zaidi Hata kuflash Choo kweli [emoji853] Ndo Msanii wenu huyo

Bill za Maji tu KASHINDWa kuclear Mwenye Nyumba anampgia simu Kumuita ana ignore anajikuta Star wakati hata Kibanda cha kuku hamiliki

Huyu Dogo Ustar unampa Uchizi anajiona hakuna kama yeye na hamna wa kumwambia kitu

Kitu Anachojua ni Kuwalipa Kina Carrymastory, Jaymaudaku Hili Wampromote 24hrs Wamsifie hata Visivyostahili kusifiwa ila Kodi anashindwa kulipa
RickMedia(Hadi gari alimnunulia RickMedia hili awe anampost yeye tu na asiwapost wasafi ila mashart yakamshinda harmo akabeba gari lake)

Ila Harmonize ni Msanii Mwenye Dharau sana tena Dharau za Kishamba
Kutwa kujimwambafai Instagram ila hana lolote ananunua Cheni Kama Toch Wakati Kodi Kashindwa kulipa

Nimemuonea sana huruma Mwenye nyumba tena anaonekana ni Mzee mstaarabu ila hadi ameenda icu Jua yamemshinda isee

Ila Wenye Nyumba Wajifunze Msiwapangishie Hawa Wasani hawana lolote zaidi ya Majina Makubwa bila Faida yeyote Useless Kabisaa

Harmo alipe Kodi aache kutuibisha Mashabiki Wake Yeye si Msanii number Moja anashindwaje kulipa Kodi

Wacha Wanigeria Watukimbize cz Wasanii wetu Asilimia Kubwa akili hawana Elimu hawana wanaotea tu kwenye ustar unawachanganya wanajiona hakuna kama wao Wakati kulipa kodi kunawashinda

Ndo maana playlist yangu nyimbo zote za nje hawa Wasanii wa bongo hamna kitu ni Makelele tu na Kujimwambafai Instagram (Instagram inafanya kila mtu anaonekana tajiri while in real life shida tupu)

[emoji625]Note: Mimi Sio Shabiki Mandazi kutetea hata ambavyo havifai kutetewa kisa kumtetea Msanii that is totally stupidity
Ukiona mwanaume hadaiwi hiyo ni maskini
 
Hatà Mimi nimeona hào ICU na huyo Mzee mwenye nyumba tena ni mtu mwenye heshima hasa. Jamaa wameenda hadi chooni[emoji23]. Chumbà àlichokuwa anaishi jàmaà wamekutà pichà yà diamond ukutàni nà kile kilàinishi(KLY)
 
Back
Top Bottom