Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,134
Hata mie sipandi huo mtumba
Hapo sasa,Chris mwenyewe hajalalamika...............Au anadhani walimshtukiza na hiyo gari..?Ulitaka apande gari gani?Kwani hiyo imemchubua?
Kuna watu wanajua kuabudu mtu balaaa maana mie sijaona tatizo ya hilo gariHapo sasa,Chris mwenyewe hajalalamika...............Au anadhani walimshtukiza na hiyo gari..?
asichofahamu mlalamikaji ni kwamba yote haya yanafanywa kwa makubaliano hata kabla ya kutia saini mkataba.Atalipwa bei gani,ataperform wapi,atalala wapi mpaka gari ya kumbeba.......Kuna watu wanajua kuabudu mtu balaaa maana mie sijaona tatizo ya hilo gari
Jifute povu kwanzaWewe hauna hata Baiskeli hataa mbao........waongea nini...Nenda katafute Albino
Mbona povu linakumiminika au gari lako niniUpuzi tu na ujinga tupu.Nani atakayewakomboa
Umedungwa reale ....Tulia na utii wacha nyap nyap mob ya uduJifute povu kwanza
Chrisbrown ni mpuuzi kiwango cha flyovers anatakiwa kupuuzwa.kwani yeye kalalamika??acheni kuabudu upuuzi