Hii ni aibu kwa Kenya

Hii ni aibu kwa Kenya

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
1,531
Reaction score
1,134
Hii ndyo gari aliyopanda Chris Brown alipokwenda Kenya, Gari isiyo na hadhi kulingana na hadhi yake, ni Prado ya Old model!! Shame
 
kwani yeye kalalamika??acheni kuabudu upuuzi
 
Hahaha duuh mmeanza kuchambua na prado .. .embu vitu vingne mue mnaassume basi yani kila kitu mnatengeneza Uzi
 
waah...huu ni ujinga wa hali ya juu..kwa hiyo ulitaka apande meli akipelekwa hotelini kisa na maana ni chris brown?wacha ulimbukeni wewe
 
which hotel was that , thats a more important question , was it English point marina?
 
Kwanzaa huyo chrisbrown mwenyewe ana nyodo sana ningekua promoter ningemtumia punda airport imlete huyo nguchiro.

Sitakagi mambo ya kijinga mimi.



[emoji817]
 
Yesu mwenyewe aliingia Yerusalemu kwa punda alafu wengine wanataka tumuabudu binadamu mwenzetu hapa.
 
Back
Top Bottom