Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Hii ni aibu, jeshi la polisi halina camera?Bado wana ujasiri wa kuwataka waathirika walete picture?sasa km askari watategema hadi lini picture za waadhirika kuwaadhibu askari wake wanaingia ktk ukatili?
Waht if ushahidi huo anao mtuhumiwa?what if umepikwa.Hii ni aibu kwa jeshi letu..tena bila aibu wanadai picture kwa nguvu katika tukio wao wenyewe walikuwepo karibu kabisa?jamani badilikeni kidogo..Polisi walipaswa takiwa toa ushadi kwani wamekiri walikuwa karibu sana na mhalifu n awao pia waliua...si sheria kw apolisi kupiha risasi za moto ktk tukio linaloweza thibitiwa kwa mabomu ya machozi na maji ya kuwasha.
Ni huku kukosa kupiga picture ndipo kunawafanya polisi wasijutie sana mambo wayafanyayo kwa vile hawawezi zi replay video na kutazama photos.wangekuwa wanatzama walichokuwa wakifany wangepata huruma na huzuni hasa wakikuta wanateseka watoto wao ,wa ndugu zao, mama zao, na hata magari yao yakiharibiwa na wenzao bila huruma.
Kwanini polisi wang`nganie ushahidi wa watu wengie wakati na wao wanao wa kwao ambao si lazima ulingane na huo?Nani kawaambia watuhumiwa na washitaki wanatakiwa wasynchronize ushahidi?Si utakuwa ni ushahidi wa kupanga?
Tunaomba polisi muanze kuwa professional..